Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

Huyu binti anayechepuka na mume wake mtu naye akiolewa anakuwa mkali kweli mumewe asihudumie mabinti wengine.

Life is a cycle.ukichepuka na mume wa mtu na wako atachepuka tu.
Unatakiwa kuwa mpole tu.
 
Wewe yaonekana ndoa yako imekusida, sasa unatafuta zijisaau tu vya ovyo, achana na mabinti na wanachuo,mutuze mumeo uone kaa atatoka nje ya ndoa, siamini ukimpa mumeo kila kitu, umupatie pia heshima atakua anatanga tanga LA, lakini nyinyi wake wengine mukisaolewa ndio basi, heshima hamna, hata munaacha kuvaa vizuri, sasa kwanini nisione kake kasichana ka mwaka wa pili hapo mzume au uni hapo dar amako kanavaa poa, kanajua heshima, kwanini nishugulike na wewe ambae hata heshima hunipi, KAKUDIVORCE NAKAOA HAKO KABINTI KA CHUO
 
Suala sio kuwalaumu mabinti wa vyuo tu lwa ujumla wanawake hawapendani hata siku moja hawa hawa walioolewa wanacnukuliana wanaume na wanajua kabisa huyu mume wa fulani itakuwa mabinti ambao hawajaolewa?
 
Pole sana mama.
 
Wanajua wakimaliza vyuo hawatapata ajira, tukiipigia serikali kelele kuhusu ajira mnaona tunazingu sasa na nyinyi mlioolewa mnaanza kuumia.!!
 
Hapana ni wewe ukiwapa nafasi . Acha kuficha ujinga wako kwa mabinti uliowatafuta mwenyewe
 
Ha ha ha ha ni kweli;kuna siku mke wangu aliniambia bora uchepuke na mke wa mtu kuliko mwanachuo au mtu aliye 'single',nikabaki nacheka tu.
 
we ulikuwa wapi muda huo?
 
Hapo kwenye kudekezwa hapo na kauli laini za mahaba, heri nichunwe pesa kitu gani ila moyo uwe baridiiii! Unakula tunda baada ya romance ya maana mtoto wa kike full kulainika unajimegea tunda kama kwenye movie yani! Mtoto anawajibika kila idara kuanzia kichwani mikononi mpaka miguuni kupo active katika shughuli! Kuna raha kuwa na mtu akufanyae ujihisi unapendwa hata kama sio kweli ila kwa lugha laini inayoakisi upendo!

Ukiwaza upande wa pili, mke nyumbani anakushindisha njaa week nzima yeye aonewe huruma kachoka, always kususa susa ovyo,akikupa tunda ni akijiskia yeye ilimradi tu! Kila ukiwa around makelele tu vitu vya kijinga jinga mbaya zaidi hamna welcoming language ukifika home we ni kama mkimbizi huna raha unawaza leo litazukia wapi leo.Kwa hali hio utaacha kuwaza kamchepuko kako ka chuo kweli? Inshort huinjoy chochote kutoka kwake maana mazuri yote yaliisha baada ya honeymoon!
 
Wapendwa wanawake mlioolewa,
Wezi wenu ni wanawake wenzenu walio kwenye ndoa wala sio wanafunzi au mabinti walio single.
 
[emoji121]
SIUNGI MKONO HOJA!!!

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Katazo la hivi linahamasisha kuchimba zaidi kujua ukweli
 
Watu wana falsafa za kutetea michepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…