Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

[emoji23][emoji23][emoji23] nyambavu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pole sana, Kumbuka Maisha ni Mzunguko wengine waliwafanyia hizi Wanawake wenzao kipindi wako Chuo, wakamaliza Chuo, wakaolewa kwa hiyo ni zamu ya walioko Chuoni muda huu nao watamaliza, wataolewa, watawalalamikia wenzao wa Chuoni. Kama ulimfanyia mwenzip hivyo tulia hivyohivyo nawe unyolewe ( Hii ndio maana halisi ya Karma)
 
Hakuna mkosi kama kuingilia ndoa ya mtu hata mtoto atakayepatikana hapo hatapata baraka yeyote. Anyways unatoka na mume wa mtu hujisikii aibu?baadae umri ukienda unaanza kulia lia Hamna wa kukuoa. Unatembea na binti mdogo akipata mimba ndio unaanza kuhaha na baadae ni kusambaratika kwa ndoa yako uliyoijenga mda mrefu. Akili zako zikiendeshwa na huko chini mda wote utakachoambulia ni mabalaa
 
Nitafutie namba za hivyo vibinti mkuu
 
Keyword: HESHIMA

[emoji41]
 
Mume hawezi kuibiwa. Alichounganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha. Wanawake wanasahau sana nafasi zao kiroho kwenye maisha ya ndoa. Upo na Mungu aliyewaunganisha kiasi gani? Nguvu unayotumia kuwa na wasiwasi na kushindana itumie rohoni katika sala na kumjua Mungu kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…