Msemakweli11
New Member
- Feb 20, 2026
- 1
- 2
Maaskari gani? Sema Sisi mapolisi! Na nyie no watu?Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Askari sio raia rafiki ,kuna lugha za kuongea sio hizi unazosema wewe .Ooho huku tena mboni hatuelewi hizo hela zenu za kuamishwa si wanakula wakubwa zenu mnawaogopa kuwachana za usoni waambie kabisa boss mimi hapa hujanipa changu ******** zako sihami na lolote hunifanyi. Nitoe changu kwangu ndio nihame bila hivyo ******** nabaki hapahapa ukitaka hama wewe ukazibe hio nafasi huko, mnashindwa nini kufanya hivyo unaogopa atakufukuza kazi na unamdai haki yako?
Ok nimesoma na nina ndugu yangu mmoja ni boss mkubwa yupo uhamiaji nimeongea nae kwa simu na nimemwambia asome huu uzi na alifikishe kwa wakubwa zaidi,mimi hawezi kunijibu kwa kuwa maadilinyao ya kazi hayaruhusu lakini ndani ya wiki 2 utaona majibu,iwapo jambo hili ni kweliHabari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu ya msingi kulipwa fedha za uhamisho kwa wakati.
Wengi tunadai fedha za uhamisho tangu 2023. Hali hii inachochea vitendo vya rushwa katika utendeji wa Idara.
Tunamuomba Mh Rais wetu-Dr. Samia Suluhu aliangalie suala hili kwani ni tatizo kubwa kwa sasa.
Sasa huku kaja kuandika nini na anajua imetolewa amri?Askari sio raia rafiki ,kuna lugha za kuongea sio hizi unazosema wewe .
Pasina kusahau amri uwa inatekelezwa kwanza na malalamiko yatafuata baada ya amri
Ukorudi hapo juu kuna mtu kamwambia kuwa angeendelea kulilia shida zake kwa kutumia neno watumishi wa idara ya uhamiaji walau ingeleta maana sababu wapo wasio askari ila alikosea aliposema sisi watumishi wa idara ya uhamiaji ambao ni askari ni hapo alikanyaga waya aise .Sasa huku kaja kuandika nini na anajua imetolewa amri?