Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa kiazi kweli, mbona unakua inferior kisa nimetaja safari za ng'ambo...kama terminal 3 unaionaga kwa mbali hayo si matatizo yangu jombaa..au ndio mmoja wa wale jamaa wa uhamiaji ni watu wazima lakini hamujiheshimu. Kwanini msichukue namba kwenye system badala yake mnatuchelewesha na kuipaka matope nchi ? Pumbav sana nyie. Msipoacha hii itakuja kuwacost na mnafamiliaHapa umetupiga kamba na sidhani kama umewahi hata kusafiri nje ya nchi
Naomba nikuelimishe kidogo, ukipita airport lazima utoe taarifa zako binafsi ikiwemo mawasiliano ya ulipotoka na unapokwenda. Lazima uwape maafisa wa mpakani mawasiliano yako kwa maana ya address na kwa bongo lazima utaje namba ya simu waitie kwenye mfumo.
Hasa hao jamaa watalazimishaje kupewa namba za simu na mademu wakati hizo namba wanazo kwenye hayo mamifumo wanayotumia?
Kwa hii story yako hapa najua kabisa umetupiga kamba au ulitaka kutueleza jambo jingine ukachomeka mapenzi ndani............
Hoja nyepesi gani hapo?. Kufanya kazi za kutongoza wakati watu wanasubiri huduma unaona hilo ni sawa?.Jamaa ww muongo
Hujuia hata emegration policy inavyofanya kazi zake kwenye International airports
Any way sikushangai umesema kwa uelewa wa akili yako ila kama uliwahi kusafiri huwezi kulichafua jeshi lako kwa hoja nyepesi kama hii
Naomba nikuelimishe kidogo, ukipita airport lazima utoe taarifa zako binafsi ikiwemo mawasiliano ya ulipotoka na unapokwenda. Lazima uwape maafisa wa mpakani mawasiliano yako kwa maana ya address na kwa bongo lazima utaje namba ya simu waitie kwenye mfumo.
Kazi kweli kweli.Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi.
Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi.
Mwishowe yule dada kama akakasirika akampa namba kama kwa kushout kidogo. Basi akamruhusu huyo dada kupita.
Sasa vile vibanda vyao ukishagongewa stamp unapita kwa nyuma kuelekea luggage claim.
Cha ajabu yule jamaa wa uhamiaji akainuka kwenye kiti halafu akageuka akawa anamkadiria yule dada kwa nyuma aone mzigo 😂😂😂. Na hapo kumbuka kuna bonge la foleni tunasubiri tuhudumiwe.
Tulivofika luggage claim yule mdada akawa amemind anamhadithia mwenzake, ajabu na mwenzake akasema nae aliombwa namba na jamaa alomhudumia ila akampotezea.
Kile kitendo kilinikimbusha kisa kimoja ambacho nilikipuuziaga ila hapa ntakielezea maana nadhani hawa maofisa wanashindana kutongoza pale.
Mwaka jana kazini tulikua na regional retreat ilifanyika Tanzania kwa hiyo watu toka mataifa tofauti walikuja.
Basi jioni tupo dinner kuna wadada toka nchi mbalimbali wakawa wanahadithia kila mmoja alivopata kashkash ya jamaa wa uhamiaji pale airport.
Ajabu kila mmoja akawa anaelezea jinsi wahudumu walivyokua wanawatongoza na kuomba namba tena kwa kuwafrustrate.
Na kweli jioni ile kuna jamaa wa uhamiaji walikuja mida tofauti kwenye hotel tuliyokuwepo wakawa wapo parking area wanawatafuta wale foreigners eti wawape kampani.
Kuna mdada mmoja ambae alitoa namba akawa anatuonesha texts za jamaa kuwa yupo parking area na jinsi anavopigiwa WhatsApp calls.
Basi wale wadada wakaishia kutuponda pale ikaisha.
Anyway inaonekana ni kitu kidogo ila nahisi hii hali isipodhibitwa inatia doa taifa maana ni kama wanashindana kutongoza na kufanya watu wasihudumiwe kwa wakati.
Ningewawekea hata namba ya afande wa uhamiaji alotuweka kisa anatongoza, bahati yake nzuri alikua kavaa sweta so namba haionekani
Nalichafua jeshi au hao watumishi wenu ndio wanalichafua. Yaani nyie mnahitaji training huenda work ethics halipo kwenye mafunzo yenu. Hakuna anaewakataza kutongoza ila hoja ni kuwa msi-compromise hudumaJamaa ww muongo
Hujuia hata emegration policy inavyofanya kazi zake kwenye International airports
Any way sikushangai umesema kwa uelewa wa akili yako ila kama uliwahi kusafiri huwezi kulichafua jeshi lako kwa hoja nyepesi kama hii