Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wanakwisha Kwa ajali - video

Vijana wa Bodaboda ni janga...
Ni walevi wa Pombe kali na Bangi, kuwa makini nao wakati wooote wako sobba all the time.
Mkuu una maanisha wako 'drunk' kwa pombe au 'intoxicated' kwa kutumia madawa ya kulevya nk. Aidha ukisema sobba kwa kumaanisha 'sober' tafsiri sahihi ni hali ya kutokuwa ktk athari ya pombe au kilevi
 
Upepo unawawehusha
 
Maafisa wanajiua wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila watu
 
Jana asubuhi kuna mmoja alivaa gari la wanafunzi, bahati wanafunzi walitoka salaama..... leo nkaona boda kaingia uvunguni mwa gari nyingine ya wanafunzi .....

Waendesha vyombo vya moto wanahitaji utulivu sana ktk maamuzi wafanyayoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…