Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wanakwisha Kwa ajali - video

Vijana wa Bodaboda ni janga...
Ni walevi wa Pombe kali na Bangi, kuwa makini nao wakati wooote wako sobba all the time.
Mkuu una maanisha wako 'drunk' kwa pombe au 'intoxicated' kwa kutumia madawa ya kulevya nk. Aidha ukisema sobba kwa kumaanisha 'sober' tafsiri sahihi ni hali ya kutokuwa ktk athari ya pombe au kilevi
 
Hivi ni kwa nini mtu akishaanza kuendesha bodaboda anabadilika anakuwa kama kichaa hata kama kabla ya kuanza hiyo kazi alikuwa vizuri. Najiulizaga maswali mengi sijui ni ule upepo unaingia kwenye ubongo au ni lile tenki la petrol lililoko karibu na pua ya mwendesha bodaboda?
Upepo unawawehusha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila watu
 
Back
Top Bottom