Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

Mkuu ni kweli anazo ila ukifananisha alizokuwa nazo kutoka $300m na kuzichezea mpaka 10m ni ujinga sana

Nilichomekea tu ila kwa leo kama angezitumia kwa akili angekuwa mbali sana
Nilikuwa nawasema Blacks wakizipata wao ni starehe tu nothing else
Anapigana tena kutafuta hela
Angalia ujinga wa Mayweather ndio utajua ujinga wa ngozi nyeusi.
 
Watu kwa wivu! Wanamuonea Bure P. Diddie wa watu. Huyu jamaa alikuwa ana hangout na El Presidaa Trump. Haitakuwa rahisi kumtia hatiani. Ni gangster wa kishua.
 
Kuna mahala pesa haifanyi kazi kabisaa hawa jamaa wao ni kufwata sheria ya Nchi yao inataka nini na haitaki nini, huku Afrika asingaliguswa ingalibakia kusema uchunguzi hauja kamilika miaka inakwenda. Utawla wa sheria kwakweli ni nguzo ya kuendesha Nchi bila hofu yoyote maana hamna aliye juu ya sheria kabisa.
Kiko wapi
 
Back
Top Bottom