Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Casea huyu aliyetoaga ngoma inaitwa I MISS YOU?Ila huyu mwamba Sean Combs kwa aliyokuwa anamfanyia Cassie sio poa.
Alimtreat kama bitch yaani kama nasty pornostar
Acha tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Casea huyu aliyetoaga ngoma inaitwa I MISS YOU?Ila huyu mwamba Sean Combs kwa aliyokuwa anamfanyia Cassie sio poa.
Alimtreat kama bitch yaani kama nasty pornostar
Acha tuone
Pizzagate unaweza kusoma hapaPizzagate ni nini, tuanzie hapo.
Umegundua Pizzagate ni uharo mtupu, sasa unahamisha magoli.Pizzagate unaweza kusoma hapa
![]()
Pizzagate conspiracy theory - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Issue sio hio conspiracy theory yenyewe, issue ni hizo Email ambazo Asange alizi leak, mpaka Kesho Hilary Clinton hajazikataa. Na kutokana na hizo Emails zimekuja kuprove sasa hizo traficking za Zamani.
Sijahamisha Magoli, toka mwanzo comment yangu ipo specific na mpaka event nimezitaja kuanzia Afghanistan mpaka Haiti, tatizo lako unataka Nidiscuss unachotaka wewe. Usiku kwema, Ubishi wako siuwezi.Umegundua Pizzagate ni uharo mtupu, sasa unahamisha magoli.
Pizzagate is a very specific thing, which has been very thoroughly debunked.Sijahamisha Magoli, toka mwanzo comment yangu ipo specific na mpaka event nimezitaja kuanzia Afghanistan mpaka Haiti, tatizo lako unataka Nidiscuss unachotaka wewe. Usiku kwema, Ubishi wako siuwezi.
NI BALAA, WATU WANAMPUUZIA TU ILA UKWELI UTAJULIKANA#No didy
50 cent tokea kitambo sana anasema didy nd mhusika mkuu mahuaji ya pac, ubakaji,ulawiti;:
Anatakiwa asirudi kabsa USA
Hivi hawa 'weusi' wa huko wana matatizo gani?JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation.
The jet appeared to land on Antigua in the Caribbean according to flight tracking data.
At the moment, it is unknown if Diddy is actually on the plane or not.
TMZ is reporting that the jet "currently grounded" on Antigua.
"The plane is currently grounded there, although the flight data has yet to update and register him as having officially landed. In any case, it's definitely Diddy's jet ... no question," they reported.
Diddy's LA and Miami homes were raided on Monday in relation to a federal investigation into s*x trafficking, narcotics as well as firearms.
======================
MAREKANI: USALAMA WAVAMIA NYUMBA ZA DIDDY, MWENYEWE HAJULIKANI ALIPO
Nyumba ya Mfanyabiashara na Mwanamuziki Sean ‘Diddy’ Combs zilizopo Los Angeles na Miami zimevamiwa na Maafisa Usalama ikidaiwa wanafanya uchunguzi na upekuzi kuhusu tuhuma za Biashara ya Ngono na Biashara ya Binadamu zinazotajwa kuhusu staa huyo.
Maafisa wa HSI ambacho ni Chombo Kikuu cha Uchunguzi cha Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani wamewafunga pingu baadhi ya Watu waliokutwa katika nyumba ya Los Angeles wakiwemo Watoto wa Diddy ambao ni King na Justin huku baba yao akiwa hajulikani alipo.
Wakati hayo yakiendelea inadaiwa ndege Binafsi ya Diddy imeonekana ikiwa njiani kuelekea Visiwa vya Caribbean kwa mujibu wa Tovuti ya Flight Tracking Data.
Dah!.....kashakimbia huyo.JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation.
The jet appeared to land on Antigua in the Caribbean according to flight tracking data.
At the moment, it is unknown if Diddy is actually on the plane or not.
TMZ is reporting that the jet "currently grounded" on Antigua.
"The plane is currently grounded there, although the flight data has yet to update and register him as having officially landed. In any case, it's definitely Diddy's jet ... no question," they reported.
Diddy's LA and Miami homes were raided on Monday in relation to a federal investigation into s*x trafficking, narcotics as well as firearms.
======================
MAREKANI: USALAMA WAVAMIA NYUMBA ZA DIDDY, MWENYEWE HAJULIKANI ALIPO
Nyumba ya Mfanyabiashara na Mwanamuziki Sean ‘Diddy’ Combs zilizopo Los Angeles na Miami zimevamiwa na Maafisa Usalama ikidaiwa wanafanya uchunguzi na upekuzi kuhusu tuhuma za Biashara ya Ngono na Biashara ya Binadamu zinazotajwa kuhusu staa huyo.
Maafisa wa HSI ambacho ni Chombo Kikuu cha Uchunguzi cha Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani wamewafunga pingu baadhi ya Watu waliokutwa katika nyumba ya Los Angeles wakiwemo Watoto wa Diddy ambao ni King na Justin huku baba yao akiwa hajulikani alipo.
Wakati hayo yakiendelea inadaiwa ndege Binafsi ya Diddy imeonekana ikiwa njiani kuelekea Visiwa vya Caribbean kwa mujibu wa Tovuti ya Flight Tracking Data.
Baby mama wake katajwa aliajiriwa kama sex worker 🫣Na hivi 50 cent hampendi huyo Jamaa, basi ata koma aisee😀
View attachment 2945003
Nimekusoma ila hapo uliposema Tyson kwa sasa choka mbaya sio kweli. Jamaa ana mawe ya kufa paka kwa sasa. Fuatilia habari utajuaNi ushamba ingawa wamezaliwa mjini
Ndio maana weupe watabaki kuwa matajiri duniani
Mweusi anawaza ngono na party tu lakini hela wanazopata ni ndefu sana kiasi wanaweza hata kuanzisha mji wake
Wanachezea hela sana hawa jamaa
Mike Tyson leo choka mbaya ila enzi zake alikuwa anaona hata kusubiri ndege airport anaona anachelewa kula demu anaamua kuchukua private jet na kula Bata
Tuna laana mahali fulani ila hatujui
Mkuu ni kweli anazo ila ukifananisha alizokuwa nazo kutoka $300m na kuzichezea mpaka 10m ni ujinga sanaNimekusoma ila hapo uliposema Tyson kwa sasa choka mbaya sio kweli. Jamaa ana mawe ya kufa paka kwa sasa. Fuatilia habari
Jay Z naye ana tabia ya kuandaa house party ?Ndiyo maana nakwambia Hip Hop is Dead. Miaka 5 ijayo wasanii watano wakubwa watakuwa kama Lil Nas X kwa hiyo hata hao underground wataenda kufanya shughuli nyingine ili wasihusishwe na aina hiyo ya muziki.
Jay-Z mwenyewe ni suala la muda tu kabla naye hajachafua hali ya hewa.
Hata wajukuu zao hawawez kukamatwa mkuu yamkute mjukuu wamzee mahita anabangi utampeleka kituo gani awekwe ndani hii nchi cheo zamana labda uwe nabifu namkuu alieshika nchiKikwete mbona umefika mbali sana huko?
Anza na former IGP Mahita tu.
Kuna dogo mmoja mtoto wa Mahita alikuwa anafanya fujo sana Segerea, lakini ndiyo kama unavyosema.Hata wajukuu zao hawawez kukamatwa mkuu yamkute mjukuu wamzee mahita anabangi utampeleka kituo gani awekwe ndani hii nchi cheo zamana labda uwe nabifu namkuu alieshika nchi
Si mchezo Jamaa huko wanajitahidi kwa kiasi chake yaani kukomalia matajiri na watu waliowahi kuwa na power kubwa si kitu cha mchezo mchezo.Huku tunamtaka mpaka ex president Trump.
Kama watu wamemfanya a sitting president Nixon mpaka kajiuzulu, wakikwambia "nobody is above the law" unaweza kuwa entertain kidogo hata kama bado kuna mapungufu mengi.
OK nimekusoma Tyson by now ana mkwanja kutokana na biashara halali ya bangi. Ulipomtolea mfano kama mtu aliyepotea ndio hapo tulishangaa kidogo maana amerudi kwenye mstari kama mwanzoMkuu ni kweli anazo ila ukifananisha alizokuwa nazo kutoka $300m na kuzichezea mpaka 10m ni ujinga sana
Nilichomekea tu ila kwa leo kama angezitumia kwa akili angekuwa mbali sana
Nilikuwa nawasema Blacks wakizipata wao ni starehe tu nothing else
Anapigana tena kutafuta hela
Na hapo kapatia haswa kwenye ganjaOK nimekusoma Tyson by now ana mkwanja kutokana na biashara halali ya bangi. Ulipomtolea mfano kama mtu aliyepotea ndio hapo tulishangaa kidogo maana amerudi kwenye mstari kama mwanzo
Bangi yake ndio inavutwa na matajiri ulimwenguni kote. . Ana ukwasi wa kutisha by nowNa hapo kapatia haswa kwenye ganja
Daa kweli aliamua ila ni hivi karibuni kaanza yaani mpaka Amsterdam
Sijui nimpelekee sampleBangi yake ndio inavutwa na matajiri ulimwenguni kote. . Ana ukwasi wa kutisha by now