kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
hapana ,kuhojiwa kwa maandishi lakini sio kwenda kuahitakiwaNa watoto wake wamekamatwa kwa kosa la baba yao? Maana nao pia wamepigwa pingu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana ,kuhojiwa kwa maandishi lakini sio kwenda kuahitakiwaNa watoto wake wamekamatwa kwa kosa la baba yao? Maana nao pia wamepigwa pingu.
Bongo wangefungwa wengi sana kwasababu imagine wale jamaa wa Njombe waliobaka wake zao na kuwaingilia kinyume na maumbile unadhani ni wanawake wangapi hapa Tz wanafanyiwa hayo lakini wanapiga tu kimya ili ndoa ziende?! Fikiria domestic violence wanazofanyiwa wanawake kwenye ndoa zao?! Fikiria unyanyasaji wa kijinsia unaofanyika maeneo mbalimbali hadi huko maofsini na sehemu za kazi na maeneo ya starehe. Mimi nawaza tu ile umemtongoza mwanamke kakukataa unatumia cheo chako ili umpe favor flan ya kazi, msaada, marks vyuoni mwetu. Then siku moja anakuja kukuripua mahakamani miaka ya mbele huko na bahati mbaya zaidi kipindi hicho labda Mungu ameshakubariki kua kiongozi ama ushakua tajiri na una fame na heshima kwenye jamii. Ni wangapi wangepona?! Ama tu tuseme unamchukua mdada kwa makubaliano kabsa then unaenda kumfanyia ufirauni huko anatulia. Siku moja umekua na jina kwenye jamii anakuja kukufungulia kesi, ni wangapi wangepona?! Maana yangu ni kwamba kibongo violence ipo kwa kiwango cha juu sana kwa wanawake lakini tu sheria/ mahakama zetu ziko very weak. Viongozi/ masela wangapi wamezaa na wanawake na mahouse girl wao na kutelekeza watoto?! Kuna siku moja napiga stori na rafiki yangu anafanya kazi chuo flan hapa Tz ana cheo flan kwenye hicho chuo, so kulingana na cheo chake anakutana sana na wanafunzi mara kwa mara nje ya kufundisha. So tumekaa pale Ofsini kwake ingia toka ya wanafunzi ilikua ya kiwango cha juu sana nikawa namuuliza anawezaje kujizuia na vishawishi vya watoto wa kike kwa nature ya kazi yake. Jamaa alinijibu tu kwamba, issue wala sio vishawishi, usipokua makini hawa watoto watakuja kuharibu future yako wala madhara sio ya leo. Akasema imagine umetumia nafasi yako kutoka nao wengi tofauti tofauti then let say huko mbeleni ukaja kua nafasi kubwa kwenye jamii (public figure). Hao watoto muda huo ni wanawake wakubwa wanaweza kutumia historia yako kukuharibia image yako kwa kudisplay namna ulivyotumia cheo chako kufanya mambo machafu lakini pia wanaweza kutumika na maadui zako kukuchafua. Sasa kwa wenzetu huko nje wanaweza kufile kesi dizaini hiyo hiyo ya akina R Kelly na Diddy. Anyways nilijifunza kitu ambacho wengi tunasahau sana tunadhani tutabaki hivi hivi siku zote. Tunasahau kuna siku tunaweza jikuta watu flan kwenye jamii hapo ndo unakumbuka uchafu ulikua unafanya na teknolojia ya sasa kila kitu watu wanasaveHaya mambo ya kuandaa mahouse parties majumbani unaita watu mbali mbali,piga pombeanayevuta unga atavuta,watu humo ni kusex kubakana nk
Lazima kama unafanya hivyo iko siku itakutokea puani
Ova
Zamani kuna waingereza walijipatia umaarufu mwaka 1963 waliiba hela kwenye train nyingi sanaBrazil atauzwa urusi anapewa na ulinzi
Hiyo pizza gate inamhusu Clinton na wakubwa kibao, Tuone Na wao kama watakamatwa, kila nchi kuna Deepstate na watu walio juu ya sheria. Issue ya Sex trafficking ipo sana Usa na inawahusu wakubwa na masuper star wengi.Huku tunamtaka mpaka ex president Trump.
Kama watu wamemfanya a sitting president Nixon mpaka kajiuzulu, wakikwambia "nobody is above the law" unaweza kuwa entertain kidogo hata kama bado kuna mapungufu mengi.
yule russel simon alikimbilia tailand nadhani mpk now ni 10 years. Na alikua mwanae sanaJamaa alifanikiwa kibishara akawa Bilionaire lakini inaonyesha akili yake ni ya kitoto tu. Sasa anadhani anaweza kuikimbia serikali ya Marekani kwenda kujificha Antigua kweli? Kwa kawaida ukiwakimbia polisi ndipo unawapa confidence kuwa kweli una hatia
akina clintons wanajulikana kwa sex traficking sema wale ni namba kubwa. ndio maana yule bilionea aliefia gerezani....alikiwa mtu wa wao sana. human sex trafficking hasa kwa watoto wadogo ni bizness kubwa sana kwa hawa wakubwa wadunia. hata huyo diddy kuna kitu kawatibua ndio maana wameruka nae but bila hvy ingeisha kama ilivyokuja.......Hiyo pizza gate inamhusu Clinton na wakubwa kibao, Tuone Na wao kama watakamatwa, kila nchi kuna Deepstate na watu walio juu ya sheria. Issue ya Sex trafficking ipo sana Usa na inawahusu wakubwa na masuper star wengi.
Report za Leo, hakuepo kwenye hio ndege ilioenda Antigua, Bali alipanda Ndege nyengine Miami, hio ndege pengine imetorosha evidence tu.Jamaa alifanikiwa kibishara akawa Bilionaire lakini inaonyesha akili yake ni ya kitoto tu. Sasa anadhani anaweza kuikimbia serikali ya Marekani kwenda kujificha Antigua kweli? Kwa kawaida ukiwakimbia polisi ndipo unawapa confidence kuwa kweli una hatia
Bongo wangefungwa wengi sana kwasababu imagine wale jamaa wa Njombe waliobaka wake zao na kuwaingilia kinyume na maumbile unadhani ni wanawake wangapi hapa Tz wanafanyiwa hayo lakini wanapiga tu kimya ili ndoa ziende?! Fikiria domestic violence wanazofanyiwa wanawake kwenye ndoa zao?! Fikiria unyanyasaji wa kijinsia unaofanyika maeneo mbalimbali hadi huko maofsini na sehemu za kazi na maeneo ya starehe. Mimi nawaza tu ile umemtongoza mwanamke kakukataa unatumia cheo chako ili umpe favor flan ya kazi, msaada, marks vyuoni mwetu. Then siku moja anakuja kukuripua mahakamani miaka ya mbele huko na bahati mbaya zaidi kipindi hicho labda Mungu ameshakubariki kua kiongozi ama ushakua tajiri na una fame na heshima kwenye jamii. Ni wangapi wangepona?! Ama tu tuseme unamchukua mdada kwa makubaliano kabsa then unaenda kumfanyia ufirauni huko anatulia. Siku moja umekua na jina kwenye jamii anakuja kukufungulia kesi, ni wangapi wangepona?! Maana yangu ni kwamba kibongo violence ipo kwa kiwango cha juu sana kwa wanawake lakini tu sheria/ mahakama zetu ziko very weak. Viongozi/ masela wangapi wamezaa na wanawake na mahouse girl wao na kutelekeza watoto?! Kuna siku moja napiga stori na rafiki yangu anafanya kazi chuo flan hapa Tz ana cheo flan kwenye hicho chuo, so kulingana na cheo chake anakutana sana na wanafunzi mara kwa mara nje ya kufundisha. So tumekaa pale Ofsini kwake ingia toka ya wanafunzi ilikua ya kiwango cha juu sana nikawa namuuliza anawezaje kujizuia na vishawishi vya watoto wa kike kwa nature ya kazi yake. Jamaa alinijibu tu kwamba, issue wala sio vishawishi, usipokua makini hawa watoto watakuja kuharibu future yako wala madhara sio ya leo. Akasema imagine umetumia nafasi yako kutoka nao wengi tofauti tofauti then let say huko mbeleni ukaja kua nafasi kubwa kwenye jamii (public figure). Hao watoto muda huo ni wanawake wakubwa wanaweza kutumia historia yako kukuharibia image yako kwa kudisplay namna ulivyotumia cheo chako kufanya mambo machafu lakini pia wanaweza kutumika na maadui zako kukuchafua. Sasa kwa wenzetu huko nje wanaweza kufile kesi dizaini hiyo hiyo ya akina R Kelly na Diddy. Anyways nilijifunza kitu ambacho wengi tunasahau sana tunadhani tutabaki hivi hivi siku zote. Tunasahau kuna siku tunaweza jikuta watu flan kwenye jamii hapo ndo unakumbuka uchafu ulikua unafanya na teknolojia ya sasa kila kitu watu wanasave
Mkuu please please please rudisha avatar picha yako ya awali tuliyoizoea. Yani nilitaka kukupita hivihivi.Ulikuwepo? Uliona hiyo treatment? Unao ushahidi utuwekee hapa?
Mkuu kwa ajili ya sheria za uyunani na kule ukaldayo na za waajemi nairudisha 😁😁Mkuu please please please rudisha avatar picha yako ya awali tuliyoizoea. Yani nilitaka kukupita hivihivi.
Hamna mkuu maandiko matakatifu nime yanukuu 😂 😂We jamaa utakua ni muha toka kigoma
HahAaHuku kwetu Marioo tu serikali haimgusi
Huyu jamaa hajawahi kutoka na Flaviana Matata?yule russel simon alikimbilia tailand nadhani mpk now ni 10 years. Na alikua mwanae sana
Pizzagate ishakuwa debunked na kuoneshwa kwamba ilikuwa hoax miaka mingi sana, unaishi dunia gani mkuu?Hiyo pizza gate inamhusu Clinton na wakubwa kibao, Tuone Na wao kama watakamatwa, kila nchi kuna Deepstate na watu walio juu ya sheria. Issue ya Sex trafficking ipo sana Usa na inawahusu wakubwa na masuper star wengi.