Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Angalia ujinga wa Mayweather ndio utajua ujinga wa ngozi nyeusi.Mkuu ni kweli anazo ila ukifananisha alizokuwa nazo kutoka $300m na kuzichezea mpaka 10m ni ujinga sana
Nilichomekea tu ila kwa leo kama angezitumia kwa akili angekuwa mbali sana
Nilikuwa nawasema Blacks wakizipata wao ni starehe tu nothing else
Anapigana tena kutafuta hela
Pamoja na kuchezea hela zote hizo jamaa bado ana $400m kwenye accountAngalia ujinga wa Mayweather ndio utajua ujinga wa ngozi nyeusi.
Hivi Bongo kwa nini kijiti hakiruhusiwi? Wanaruhusu viroba na gongo vitu vya ovyo kabisaSijui nimpelekee sample
Bongo wako nyuma kwa ujuaji wa kijingaHivi Bongo kwa nini kijiti hakiruhusiwi? Wanaruhusu viroba na gongo vitu vya ovyo kabisa
Hahaha Pdidy noumaaa
Kiko wapiKuna mahala pesa haifanyi kazi kabisaa hawa jamaa wao ni kufwata sheria ya Nchi yao inataka nini na haitaki nini, huku Afrika asingaliguswa ingalibakia kusema uchunguzi hauja kamilika miaka inakwenda. Utawla wa sheria kwakweli ni nguzo ya kuendesha Nchi bila hofu yoyote maana hamna aliye juu ya sheria kabisa.