mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F.
Kilichofanya niombe ushauri na kuliza ni mambo haya , leo kapigiwa simu na afisa utumishi kuwa anatakiwa apeleke halmshauri vyeti vyake vya account ili apelekwe idara ya fadha ya halmashauri yake , yeye hayupo tayari kufanya kazi halmshauri.
Sasa kaniiuliza haya mambo 1. je anaweza kataa uteuzi na sababu anatakiwa atoe zipi 2. zipi hasara anaweza zipata kwa kukataa uteuzi , sababu za yeye kukataa uteuzi ni kuwa biashara zake zimesimama so anaona kwenda halmshauri ni kupoteza muda na atabanwa na ratiba za kazi ambazo zinaweza athiri biashara zake