Maafisa wa kutuliza ghasia waanza kuwashughulikia wanafunzi wanaoandamana kuwatetea Hamas, vyuo navyo vyaanza kuwatimua

Hao wanafaa kuchapwa sana kwa kuunga mkono magaidi.
Tofauti ya kwenda shule kukariri na kuelimika inaoneka kwenye mgogoro huu wakati wakristo wengi wa tanzania wakiiunga mkono israel kisa tu wamekarisrishwa ni taifa teule na upuuzi kama huo, na kuita hamas magaidi
Wakristo wa narekani , ulaya na nchi zilizoendelea kama southafrica huwa wanatumia akili na kuangalia tatizo kwa jicho pana mfano hawa wanafunzi wa vyuo marekani ,ambayo nchi yao ndio ililitunga hilo neno gaidi na kuliwekea sheria duniani, ila ajabu kondoo wa mwamposa ndio anajifanya anajua nani gaidi
Shule shule shule
 
Hao hawapo Israel ni Wapalestina wanaoitetea Hamas huko nje walikopewa hifadhi.
Hiyo lugha ni Norway au Denmark hapo.
Angalia huyu mlolole hahaha wakimbizi na wageni hawaruhusiwi kuandamana endelea kuwadanganya mapunguani wenzako.
 
Uyole ni wapi? Nipo Buguruni kwa Mnyamani hapa karibu na msikiti wa Kundecha. Wewe upo Vingunguti familia nzima inaumwa ukoma na utapiamlo unasubiri tende za ramadhani unashabikia mauaji ya israel yakigeuzwa kwa waarabu unaumia ustaadhi na ndizi zako kwenye kanzu ukitafuta wapi kuna ubwabwa. Sheikh ubwaba. BADO HAMJASEMA. MPAKA MSEME.
BREAKING:

🇮🇱 International ARREST warrants from Hague already this week against Netanyahu, Gallant and Levi - Israeli m12

As revealed in the publication: Israel estimates that the International Criminal Court in The Hague (ICC) will this week issue international arrest warrants against top political and security officials.

This is likely to be realized during the coming week, when international arrest warrants will be filed against Prime Minister Benjamin Netanyahu, Defense Minister Yoav Galant and Chief of Staff Herzi Halevi - in.

The expected warrants will be given against the background of the genocide in the Gaza Strip, in addition to statements by various countries Regarding Israel's violation of international law where Israel committed an unseen genocide since the Second World War, in which it massacred over 37,000 civilians of which over 13,000 children under 16 years old.

Professionals and lawyers who were present at the limited emergency hearing tried to block the decision through some last-minute urgent actions in front of Bin Din himself and in front of influential political parties - but these efforts apparently did not bear fruit.

This is probably with the green light from the west because someone has to bear responsibility for the genocide that the west, despite its efforts, failed to defend.

The whole show will be ruined by either the acquittal of these war criminals or some lenient sentences.

t.me/megatron_ron
 
BADO HAMJASEMA. THAT WAS JUST A TRAILER. JAMAA WANASEMA BADO SANA
 
Wewe hujui kinachotokea kiuhalisia. Hayo si mapya kwa Israel. Labda ni dogo wa 2000s. Israel Marekani et al wanafanya kila kitu calculated. Hivyo vikwazo n.k ni maigizo tu kwenye media. Hayajaanza leo. Na Israel si unaona ambacho imekifanya Huko Palestine? Si tulisema Russia wataingilia. Wameingilia? Iran tulisema wataingilia wameingilia? Yamebaki malalamiko na nyuzi zile ambazo tulikuwa tunaanzisha sasa zimepoa. Jamaa wanachapa tu huko. Kilio kimegeuka wanaua watoto. So huko Palestine watu wazima wote wamekufa? Kila siku tunabadilisha chorus kwenye wimbo ule ule....
Ukiwa mjinga namna hiyo unaweza kumuona mzungu kama mungu, ndio maana hata yesu mlimuita mungu wakati ni binaadamu kama wewe na anakosea na ana hisia kama wewe.
Israel wakati anaanzisha vita hii hakutegemea resistance ya dunia kisi hiki
Hakutegemea kama leo marekani na duniani israel ingekosa huruma na kuonekana kama muhalifu
Hakutegemea na haijawahi kutokea israel angefikiria kama kuna siku marekani ingfikiria kuwawekea vikwazo
Israel hajawahi kufikiria kama kuna siku atapelekwa icc na kuwa issued arrest warrant
Tension na kutoelewana kati ya viongozi wa marekani na israel haijawahi kuwa kubwa namna hii
Nenda kasikilize interview ya the famous ex israel pm ehud barak ameeleza kila kitu kuwa hawa netanyahu na right wing wenzake ndio wameifikisha israel hapa na kuwafananisha na proud boys wa marekani, soma utawajua tabia zao, na sasa jews wote duniani na taifa la israel lipo kwenye risk kwa ajili yao, na akasisitiza netanyahu got everything wrong kwenye hii vita aresign for the interest ya israel
Juzi mkuu wa usalama wa israel karesign unajua kwa nini? Nendeni shule mkaelimike siyo kukariri hadi mnashindwa kufikiria
 
wanaoandamana Israel hawafikii hata asilimia 0.1 ya waisrael, ni kundi dogo sana, Hata vita ya Uganda kuna watanzania wapo wenye akili kama zako waliipinga
Naomba hili lipigiwe mstari kabisa●

Mpaka leo hii wanadai yule mshenzi Idd Amin Dada yao alikuwa eti mtu wa maana sana! Sisi tulikosea sana kumpiga!

Ng'ombe tasa hawa!
 
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).

Maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vya kutuliza ghasia (virungu, tasers, bakora) wanaendelea kusafisha kambi zilizowekwa vyuoni kutetea Hamas.

View attachment 2976113

View attachment 2976114

View attachment 2976115

huyu ni Profesaa nahisi alidhani labda sheria hazimuhusu, kakutwa kwenye maandamano, maafisa wametekeleza wajibu wao kiukamilifu.

View attachment 2976110
Kwaiyo huko hakuna uhuru wa kujieleza ambao wanaoupigania?
 
Uharo mtu bora hata usingeandika😀
mkuu ukweli kabisa tukiacha ushabiki pembeni marekani na israel lao ni moja. Ile kesi ya SA Nilisema yalikuwa ni maigizo na imethibitisha kwamba vyombo vyote vikubwa duniani vipo chini ya USA. Hakuna kitu marekani atafanya kuzuia hii vita tulishawazoea hao makafiri wamejaa urongo mwingi.
Hapo ni palestine kuendelea kupambania haki yao wasije wakategemea israel atawekewa vikwazo na marekani au kuwajibishwa. Kuwajibishwa kwa israel ni marekani kuanguka pale halipo mbali na hapo ni ndoto tu
 
Ungesema atleast hao wanafunz wapo Taifa gan na ni raia wawap
 
mkuu ukweli kabisa tukiacha ushabiki pembeni marekani na israel lao ni moja. Ile kesi ya SA Nilisema yalikuwa ni maigizo na imethibitisha kwamba vyombo vyote vikubwa duniani vipo chini ya USA. Hakuna kitu marekani atafanya kuzuia hii vita tulishawazoea hao makafiri wamejaa urongo mwingi.
Hapo ni palestine kuendelea kupambania haki yao wasije wakategemea israel atawekewa vikwazo na marekani au kuwajibishwa. Kuwajibishwa kwa israel ni marekani kuanguka pale halipo mbali na hapo ni ndoto tu
Hamas yote hayo wanayajua na wanajua wanapigana na Ulaya na Marekani kumbuka Hamas siyo PLO wasiilize viaongozi wao misimamo yao tofauti Mahamod Abbas, haya mauaji ndiyo ukumbozi wa Palestina dunia leo imekua Mazayuni walivyo wengi walikuwa hawafahamu kama Palestina walikuwa wanaishi kwenye gereza la wazi, tunafahamu vyombo vyote vipo chuni ya Marekani dunia inaraka kujua Makahama ya kimataifa watatoa hukumu gani, leo hii ndani ya Marekani kuna maamdamano na raia wanapigwa hii pia imeondoka hali tulikuwa tumekalilishwa kuwa Marekani kuna democrasia.
 
Attachments

  • IMG_3658.jpeg
    IMG_3658.jpeg
    673.1 KB · Views: 2
Maandamano hayafai katika hali yoyote. Ila tunaangalia na kushangazwa na undumilakuwili wa wanaojiita baba wa demokrasia. Nyinyi si ndio mnawatumia kama kiigizo katika demokrasia?

Hawa watu hawatakiwi kutulecture chochote kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Na sijui huwa mnadanganywa nao na kipi!

Mauaji ya kimbari ya Gaza yanawafungua macho baadhi ya watu juu ya unafiki na udanganyifu wa demokrasia na kile kinachoitwa haki za binadamu.
Hamna mauji ya kimbari. Ile ni vita dhidi ya ugaidi
 
BREAKING:

🇮🇱 International ARREST warrants from Hague already this week against Netanyahu, Gallant and Levi - Israeli m12

As revealed in the publication: Israel estimates that the International Criminal Court in The Hague (ICC) will this week issue international arrest warrants against top political and security officials.

This is likely to be realized during the coming week, when international arrest warrants will be filed against Prime Minister Benjamin Netanyahu, Defense Minister Yoav Galant and Chief of Staff Herzi Halevi - in.

The expected warrants will be given against the background of the genocide in the Gaza Strip, in addition to statements by various countries Regarding Israel's violation of international law where Israel committed an unseen genocide since the Second World War, in which it massacred over 37,000 civilians of which over 13,000 children under 16 years old.

Professionals and lawyers who were present at the limited emergency hearing tried to block the decision through some last-minute urgent actions in front of Bin Din himself and in front of influential political parties - but these efforts apparently did not bear fruit.

This is probably with the green light from the west because someone has to bear responsibility for the genocide that the west, despite its efforts, failed to defend.

The whole show will be ruined by either the acquittal of these war criminals or some lenient sentences.

t.me/megatron_ron
Putin ana arrest warrant from The Hague ila bado anadunda tu.
 
Back
Top Bottom