Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
nini tofauti kati ya Pepo Na malaika kimtazamo? maana kiasili wote Wana asili moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini tofauti kati ya Pepo Na malaika kimtazamo? maana kiasili wote Wana asili moja
Mi nikajua tende hii ya mwezi wa ramadhani.Aisee dah, ndo maana mwenzenu nmechill apa kitaa nizid kushangaaa ya dunia[emoji3] View attachment 644930
Umewahi waona wapi mkuu hadi ukaseme wazuriunajua kuwa malaika ni roho, hata wakionekana na miili huwa wanakuwa wameivaa tu lakini wao ni roho? do you know that? they can not be seen in the physical, hadi wao wenyewe waamue kujionyesha, sio kukamatwa kwenye kiota namna hiyo kama hapo kwenye picha. afu ni wazuriii, hawana sura mbaya ivo. siwaabudu malaika, ila kwa tunavyowasoma, Mungu amewatengeneza wazuri hata wa umbo...labda wawe malaika wa shetani. Mungu anapenda wanaomwabudu wawe bora sio alimradi tu.
Analiwa?
Malaika gani mzee hivyo?[emoji23] [emoji23]
Sio series ya wrong turn hii?
Hahahaha mkuu hii hatar sanaMalaika gani mzee hivyo?[emoji23] [emoji23]
Sio series ya wrong turn hii?
Hizi Habari ni zakipuuzi na sisi tulivyokuwa mazuzu tunaamini. Huko kwa Mungu kuna mafundi cherehani? Huu ni mdoli wataalamu wametengeneza ili kuuhadaa. Malaika wa Mungu awe hivyo na aanguke??????????Malaika gani mzee hivyo?[emoji23] [emoji23]
Sio series ya wrong turn hii?