Maajab! Malaika aina ya makeherubi adondoka toka mbinguni!

Maajab! Malaika aina ya makeherubi adondoka toka mbinguni!

Hamna kitu kama hicho malaika mzee hvyo hahahhaha
 
unajua kuwa malaika ni roho, hata wakionekana na miili huwa wanakuwa wameivaa tu lakini wao ni roho? do you know that? they can not be seen in the physical, hadi wao wenyewe waamue kujionyesha, sio kukamatwa kwenye kiota namna hiyo kama hapo kwenye picha. afu ni wazuriii, hawana sura mbaya ivo. siwaabudu malaika, ila kwa tunavyowasoma, Mungu amewatengeneza wazuri hata wa umbo...labda wawe malaika wa shetani. Mungu anapenda wanaomwabudu wawe bora sio alimradi tu.
Umewahi waona wapi mkuu hadi ukaseme wazuri
 
Wanasema huyu mdudu mtamu haijapata onekana alaf mbegu moja na huyo malaika![emoji115]
FB_IMG_1512531821123.jpg
 
Malaika gani mzee hivyo?[emoji23] [emoji23]

Sio series ya wrong turn hii?
Hizi Habari ni zakipuuzi na sisi tulivyokuwa mazuzu tunaamini. Huko kwa Mungu kuna mafundi cherehani? Huu ni mdoli wataalamu wametengeneza ili kuuhadaa. Malaika wa Mungu awe hivyo na aanguke??????????
 
Malaika wote wapo uchi kwa sababu hawana dhambi, huyo mbona kavaa nguo...
 
Back
Top Bottom