Hiyo 4. futa kabisa usiseme japo, ni kwamba serengeti inasoma Mara region, that why mkoa wa mara mnaubemenda kwa issue as you wrote.1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Kutoka Mwika kwenda huko kuna kona nyingi hakuna mfano.Mkuu ikoje hasa hii Tarakea Road?
Sio Singida kweli hii??1.Asali
2.kuku wa kienyeji
3.Bonde la ufa
4.Uwepo wa mazao ya kilimo mengi (Ngano,Korosho,Alizeti,mahindi,vituguu,mtama na uwele)
5.Nyumbani kwa wanariadhaa mashuhuri ,Ikhangaa,Faulina na Alphonse Simbu
6.uwepo wa wanasiasa wengi uchwara
7.jamii ya wahadzabe/tindiga
Utaje huo mkoa
Siyo Manyara?Sio Singida kweli hii??
Serengeti ipo hadi Arusha mkuu labda haujatembea tu.Hiyo 4. futa kabisa usiseme japo, ni kwamba serengeti inasoma Mara region, that why mkoa wa mara mnaubemenda kwa issue as you wrote.
Kumbe wamasai nao ni maajabu[emoji2297][emoji2297]1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Haujui...kabla lilishikilia mila zake hadi kesho.Kumbe wamasai nao ni maajabu[emoji2297][emoji2297]
Hata wasukuma wanashikilia.Haujui...kabla lilishikilia mila zake hadi kesho.
Wakija Dar wanasahau....mie hata niwe kwa daladala nina shuka zangu...Hata wasukuma wanashikilia.
Pia Simba wa Saadani wanakula samaki... Wako ufukweni hawajichoshi kufukuza swala.. Wanavizia samaki ufukweni tu..Saadani ni kitu bora sana.
Hata wamasai wamechanganyikana siku hizi wanapigwa ganzi hospitali, na suti wanavaa.Wakija Dar wanasahau....mie hata niwe kwa daladala nina shuka zangu...
Watoto natairi kimasai...wasukuma wamechanganyana na Wazaramo mijini hata huwatofautishi.
Naona upo deep kwenye hii mada...umejitwalia mmasai wako wa mjini nini au msukuma!Hata wamasai wamechanganyikana siku hizi wanapigwa ganzi hospitali, na suti wanavaa.
KWA HAPA DOM;Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.
Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.
Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.
1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
Kwa ufupi serengeti ipo mkoa wa Mara mkuu full stop.Serengeti ipo hadi Arusha mkuu labda haujatembea tu.
Kwa urefu Serengeti ipo Mara na Arusha mkuu. Full stopKwa ufupi serengeti ipo mkoa wa Mara mkuu full stop.
Tarakea mpaka kamwanga1.Kilimanjaro
2.Bwawa Nyumba Mungu
3.Rail Ya Kaskazini
4.Ziwa Chala
5.Chemchem Ya Maji Moto
6.Usangi Mountains
7.Tarakea Road
Mbeya inanuka SanaHabari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.
Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.
Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.
1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
Sehemu ndogo ya Serengeti ipo Arusha.Hiyo 4. futa kabisa usiseme japo, ni kwamba serengeti inasoma Mara region, that why mkoa wa mara mnaubemenda kwa issue as you wrote.