Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Hiyo 4. futa kabisa usiseme japo, ni kwamba serengeti inasoma Mara region, that why mkoa wa mara mnaubemenda kwa issue as you wrote.
 
Hiyo 4. futa kabisa usiseme japo, ni kwamba serengeti inasoma Mara region, that why mkoa wa mara mnaubemenda kwa issue as you wrote.
Serengeti ipo hadi Arusha mkuu labda haujatembea tu.
c008c314092493ea1b5001089022fc26.jpg
 
1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Kumbe wamasai nao ni maajabu[emoji2297][emoji2297]
 
Hata wasukuma wanashikilia.
Wakija Dar wanasahau....mie hata niwe kwa daladala nina shuka zangu...

Watoto natairi kimasai...wasukuma wamechanganyana na Wazaramo mijini hata huwatofautishi.
 
Wakija Dar wanasahau....mie hata niwe kwa daladala nina shuka zangu...

Watoto natairi kimasai...wasukuma wamechanganyana na Wazaramo mijini hata huwatofautishi.
Hata wamasai wamechanganyikana siku hizi wanapigwa ganzi hospitali, na suti wanavaa.
 
Hata wamasai wamechanganyikana siku hizi wanapigwa ganzi hospitali, na suti wanavaa.
Naona upo deep kwenye hii mada...umejitwalia mmasai wako wa mjini nini au msukuma!
 
Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.

Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.

Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.

1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
KWA HAPA DOM;
1. LODGE ZA BEI CHEE
2. MBUSUSU CHEAP ZA WANA CHUO
3.MADANGURO
Nitarudi mida
 
Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.

Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.

Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.

1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
Mbeya inanuka Sana
 
Back
Top Bottom