hawa hupenda sana jeshi.
Ile vita ya kagera walitakiwa vijana elf 2 kila mkoa waende jeshini lakini kule mara nafasi ziligombaniwa sana hadi ikabidi waongeze ziwe elfu nne, Wakati mkoa huu nafasi zikiwa zinagombaniwa kuna mikoa mingine watu waliogopa kwenda jeshini na kilichofanyika vijana wa mara walienda kwenye hio mikoa ambayo nafasi zilikuwepa na wakazijaza tele.
Baada ya vita watu waliporudi vijijini bunduki za vitani walirudi nazo.
Nakumbuka mwaka 2008 hivi ile vita ya ya kuobiana ngombe mapolisi walishindwa kabisa maana wakienda na smg wanakutana na wajumbe wana mashine nzito, ikabidi tu waende makomandoo wenzao, Achana kabisa na kina muraa.
Pia ndio mkoa uliotaka kufanya mapinduzi ili kuhitegemea wawe na nchi yao binafsi, rejea vita ya chui, kuna mtu aliweka huu uzi humu jamii forums.
Huko mara vituo vya polisi vinavamiwaga huwa nabaki kushangaa tu
Watani wao ni wahaya japo sijajua ilikuwaje maana kuna ziwa linawatenganisha ila yote kwa yote wakurya wapo vizuri vitani muhaya yupo fiti darasani ila wanaelewana sana yani