X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
njoo hata leo...milango ipo wazi kabisaNije lini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo hata leo...milango ipo wazi kabisaNije lini sasa?
njoo hata leo...milango ipo wazi kabisa
nikuandalie nini msichana mzuri....kuliko woteNakuja
Napenda lakini naona uvivu
Jitahidi Mamii usiwe mvivu hadi jikoni chakula kikaungua, utakosa vingi!!!!
komaa wewe usitutukanie mama zetuUmesahau moja. Wanawake wao hawajui kuchamba
[emoji134][emoji53]Mavi ya ng'ombe yanaliwa huko, huchanganywa na nyongo na damu, huitwa kichuri
Hko hamna jipyaToa wewe
Hapa mbona kama unawasingizia[emoji23][emoji23]Ajabu la Kwanzaa ni watu wanaojua kupenda wanawake, wakikupenda unaenjoy Sana, watu toka Mkoa wa Mara ni wanaume pekeee hapa duniani wanaojua kupenda
Wahaya ni watani wa waluo ila Wakurya watani wao ni Wanyiramba wa Singidahawa hupenda sana jeshi.
Ile vita ya kagera walitakiwa vijana elf 2 kila mkoa waende jeshini lakini kule mara nafasi ziligombaniwa sana hadi ikabidi waongeze ziwe elfu nne, Wakati mkoa huu nafasi zikiwa zinagombaniwa kuna mikoa mingine watu waliogopa kwenda jeshini na kilichofanyika vijana wa mara walienda kwenye hio mikoa ambayo nafasi zilikuwepa na wakazijaza tele.
Baada ya vita watu waliporudi vijijini bunduki za vitani walirudi nazo.
Nakumbuka mwaka 2008 hivi ile vita ya ya kuobiana ngombe mapolisi walishindwa kabisa maana wakienda na smg wanakutana na wajumbe wana mashine nzito, ikabidi tu waende makomandoo wenzao, Achana kabisa na kina muraa.
Pia ndio mkoa uliotaka kufanya mapinduzi ili kuhitegemea wawe na nchi yao binafsi, rejea vita ya chui, kuna mtu aliweka huu uzi humu jamii forums.
Huko mara vituo vya polisi vinavamiwaga huwa nabaki kushangaa tu
Watani wao ni wahaya japo sijajua ilikuwaje maana kuna ziwa linawatenganisha ila yote kwa yote wakurya wapo vizuri vitani muhaya yupo fiti darasani ila wanaelewana sana yani
kumbe hujui kitu..Wahaya ni watani wa waluo ila Wakurya watani wao ni Wanyiramba wa Singida