I hope ulichokiandika umekielewa mwenyewe tu mkuu.Waluo sio watani wa waluo ila huwa wanaleta endapo tu watang'amua kuwa umetokea Mara.
Tunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.Nadhani ilibidi tu iwe hivyo...! Nadhani watalii kutokea Arusha ni better zaidi kuliko Mara.
Gesi iko mtwara wanafaida dar wao kidogo kupitia umeme kwa sasaTunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.
[emoji654]Ndicho kilichopo kwa Serengeti kuwepo mkoa wa Mara na mnufaika anakuwa Arusha.
😀😀😀😀😀 mkuu hata mimi hii kitu nmegonga aisee.....Mavi ya ng'ombe yanaliwa huko, huchanganywa na nyongo na damu, huitwa kichuri
Wahaya ni watani wa watu wote wa Mara yaani utani ule ni wa mkoa wa Kagera hasa wahaya na watu wote wa mkoa wa Mara. Hebu rejea mazishi ya Isack Gamba na utani uliofanywa na majuraWahaya ni watani wa waluo ila Wakurya watani wao ni Wanyiramba wa Singida
Sio hivyo, Wahaya ni watani wa waluo tu kwa Mkoa wa MaraWahaya ni watani wa watu wote wa Mara yaani utani ule ni wa mkoa wa Kagera hasa wahaya na watu wote wa mkoa wa Mara. Hebu rejea mazishi ya Isack Gamba na utani uliofanywa na majura
AhsanteKanda maalum ya Rorya tarime ndiyo mkoa wa kipolisi wenye Askari wengi nyuma ya DSM. Yaani hata Zanzibar inazidiwa,kituo kimoja cha polisi Rorya au tarime kiwe kikubwa au kidogo kina polisi wengi hatari. Patrol zinadanyika usiku kucha.
Uwepo wa Kanda maalum ulitokana na historoa ya magomvi baina ya Koo za kikuria mfano Wanchari na Warienchoka ,wakira,wanayabasi nk. Lakini zaidi ulichochewa na vita Kati ya Wakurya hasa wa maeneo ya Bumera na Waluo kutokana na wizi wa mifugo. Wakurya ni kama wamaasi kwa wizi wa mifugo
nikienda mara hasa mitaa ya sirari lazima nipate kichuri kwenye supu asubuhChakula kizuri sana ukiwa Mara, kaonje usikie
Sio hivyo, Wahaya ni watani wa waluo tu kwa Mkoa wa Mara
Mkuu Mimi msukuma ninavyojua neno shashi lina maana ya mashariki kwa wasukuma, washashi ni mjumuiko wa makabila yote ya mashariki sie wasukuma watu wote wa Mara tunaita washahi, ni sawa na kiya, dakama na mweli, sukuma.Washashi ndio wanaitwa Wasizaki.. Wasukuma ndio huwaita washashi.. Lakini pia Waikizu, Wazanaki na Wasizaki huwaita wasukuma 'Abhakiriti'
Natokea Mara tena mimi ni Mjita.. ila hii Sifa iko kwenye kabila moja tu nadhani.. wanaume toka kabila la Waluo(wajaluo) ndio Wanajua kupenda aisee,, Ila haya makabila mengine yaliyobaki ni mguu mmoja ndani mwingine nje zingua nikuzingue..Ajabu la Kwanzaa ni watu wanaojua kupenda wanawake, wakikupenda unaenjoy Sana, watu toka Mkoa wa Mara ni wanaume pekeee hapa duniani wanaojua kupenda
SawaNdugu Isack Gamba (RIP) ni mluo? kwanini siku ile Ndg Majura (mwanahabari mwenzie) alifanya utani kwenye msiba wake?. Utani wa wahaya ni utani wa mkoa wanawatania waluo, wakurya, wajita na kabila lolote ili mridi ni kabila la watu wa Mara. (hebu ulizia zaidi kwa wazee utaepewa jibu)
Umejibu vyema sanaMkuu Mimi msukuma ninavyojua neno shashi lina maana ya mashariki kwa wasukuma, washashi ni mjumuiko wa makabila yote ya mashariki sie wasukuma watu wote wa Mara tunaita washahi, ni sawa na kiya, dakama na mweli, sukuma.