Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Mara ndio mkoa wenye kabila ambalo kwenye lugha yake hakuna msamiati "naomba" wala "samahan au nisamehe"
Kwaiyo mkikorofisha usishangae kusikia anakwambia yaishe au tuache, akitaka kukuomba kitu usishangae akukwambia nipe au nataka
 
kumbe hujui kitu..
watani wa wakurya ni wahaya,waha,wanyaturu,wanyiramba na warangi.
Wakira sio watani wa Wanyiramba ila huwa wahaya wanaleta utani endapo tu watang'amua kuwa umetokea Mara.
 
Tunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.

➡Ndicho kilichopo kwa Serengeti kuwepo mkoa wa Mara na mnufaika anakuwa Arusha.
 
Nadhani ilibidi tu iwe hivyo...! Nadhani watalii kutokea Arusha ni better zaidi kuliko Mara.
Tunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.

➡Ndicho kilichopo kwa Serengeti kuwepo mkoa wa Mara na mnufaika anakuwa Arusha.
 
Tunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.

[emoji654]Ndicho kilichopo kwa Serengeti kuwepo mkoa wa Mara na mnufaika anakuwa Arusha.
Gesi iko mtwara wanafaida dar wao kidogo kupitia umeme kwa sasa

Ivo watalii wakizidi kutakuwa na route ya mara to Serengeti na itauza kama arusha itakuwa na jam ila for time mbona machalii wa mara wanakuja chuga wanafanya harakati na wanatoboa kwenye huo huo

Kama mtu kashindwa kutumia serengeti kisa yupo mara na arusha ni hapo tu huyo hata tukimpa fursa hapo hapo mara hatakuwa na kipya
 
Wahaya ni watani wa waluo ila Wakurya watani wao ni Wanyiramba wa Singida
Wahaya ni watani wa watu wote wa Mara yaani utani ule ni wa mkoa wa Kagera hasa wahaya na watu wote wa mkoa wa Mara. Hebu rejea mazishi ya Isack Gamba na utani uliofanywa na majura
 
Kanda maalum ya Rorya tarime ndiyo mkoa wa kipolisi wenye Askari wengi nyuma ya DSM. Yaani hata Zanzibar inazidiwa,kituo kimoja cha polisi Rorya au tarime kiwe kikubwa au kidogo kina polisi wengi hatari. Patrol zinadanyika usiku kucha.

Uwepo wa Kanda maalum ulitokana na historoa ya magomvi baina ya Koo za kikuria mfano Wanchari na Warienchoka ,wakira,wanayabasi nk. Lakini zaidi ulichochewa na vita Kati ya Wakurya hasa wa maeneo ya Bumera na Waluo kutokana na wizi wa mifugo. Wakurya ni kama wamaasi kwa wizi wa mifugo
 
Sio hivyo, Wahaya ni watani wa waluo tu kwa Mkoa wa Mara
 
Ahsante
 
Sio hivyo, Wahaya ni watani wa waluo tu kwa Mkoa wa Mara

Ndugu Isack Gamba (RIP) ni mluo? kwanini siku ile Ndg Majura (mwanahabari mwenzie) alifanya utani kwenye msiba wake?. Utani wa wahaya ni utani wa mkoa wanawatania waluo, wakurya, wajita na kabila lolote ili mridi ni kabila la watu wa Mara. (hebu ulizia zaidi kwa wazee utaepewa jibu)
 
Washashi ndio wanaitwa Wasizaki.. Wasukuma ndio huwaita washashi.. Lakini pia Waikizu, Wazanaki na Wasizaki huwaita wasukuma 'Abhakiriti'
Mkuu Mimi msukuma ninavyojua neno shashi lina maana ya mashariki kwa wasukuma, washashi ni mjumuiko wa makabila yote ya mashariki sie wasukuma watu wote wa Mara tunaita washahi, ni sawa na kiya, dakama na mweli, sukuma.
 
Ajabu la Kwanzaa ni watu wanaojua kupenda wanawake, wakikupenda unaenjoy Sana, watu toka Mkoa wa Mara ni wanaume pekeee hapa duniani wanaojua kupenda
Natokea Mara tena mimi ni Mjita.. ila hii Sifa iko kwenye kabila moja tu nadhani.. wanaume toka kabila la Waluo(wajaluo) ndio Wanajua kupenda aisee,, Ila haya makabila mengine yaliyobaki ni mguu mmoja ndani mwingine nje zingua nikuzingue..

Sifa nyingine Asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa huu wana record nzuri ya kuwa wavumilivu katika ndoa, ukimuoa toa msamiati wa kuachana kuzembe zembe.
 
Ndugu Isack Gamba (RIP) ni mluo? kwanini siku ile Ndg Majura (mwanahabari mwenzie) alifanya utani kwenye msiba wake?. Utani wa wahaya ni utani wa mkoa wanawatania waluo, wakurya, wajita na kabila lolote ili mridi ni kabila la watu wa Mara. (hebu ulizia zaidi kwa wazee utaepewa jibu)
Sawa
 
Mkuu Mimi msukuma ninavyojua neno shashi lina maana ya mashariki kwa wasukuma, washashi ni mjumuiko wa makabila yote ya mashariki sie wasukuma watu wote wa Mara tunaita washahi, ni sawa na kiya, dakama na mweli, sukuma.
Umejibu vyema sana
 
Back
Top Bottom