Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

Naujua mkoa wa Mara vizuri. Nimewahi kuishi Mugumu. Siyo kwamba wote wanaotahiri wanatumia maneno hayo uliyotumia kuhusu tohara. Umetumia msamiati wa lugha ya Kikurya. Hapo ndipo tunapotofautiana.
Kwa taarifa yako tohara ipo kwa makabila mengi ya Mkoa wa Mara na ni kama utamaduni wao isipokuw Waluo tu.
 
Naujua mkoa wa Mara vizuri. Nimewahi kuishi Mugumu. Siyo kwamba wote wanaotahiri wanatumia maneno hayo uliyotumia kuhusu tohara. Umetumia msamiati wa lugha ya Kikurya. Hapo ndipo tunapotofautiana.

Nimeainisha vizuri sana kwenye andiko langu, rudia kusoma vizuri.
 
 
chato mkoani Geita...maajabu matano.. kaburi la mwendazake..jamaa alikuwa anasema corona ni ugonjwa wa wazungu lakini corona ikapita ne. ( 2) uwanja wa chato wasukuma wanakwenda kupiga picha na ndege.. (3) mahekalu ya mwendazake yamezungushiwa bonge la fensi balaa kama fensi ya gereza la butimba.. (4) mji wa chato huu mji baiskeli ni nyingi kuliko magari..ila mwendazake alitamani liwe jiji kubwa kuliko Arusha..
 
Haichekeshi
i
 
Sijawahi kuthibitisha japo inasemekana hivyo
Thubutu Nyerere alikwenda ziara maalum Tarime akiambatana na Muhaya aloitwa Sir George Kahama..... walifika kijiji cha Moghabiri wanatoa hotuba huku George analia..........kisa?? kuwa!! eee! Idd Amin Amevamia Wahaya wenzake kijijini kwao!!!

Namnukuu ;bnamekuja usiku bhakawafwanya munoo iree ya katerero ra bhubaya....chitu hichi si haki yetu bhatanzania kwa nini bhwanaaa!! mukuje tusayidiane kuriondo joka!!!......Loooh!! Wakurya waka kasirika sana waka muuliza kwani ana nini huyo Idd Amini??

Akajibu G.K ''wana majesi kubwa'' wanakijiji wakauliza ....sasa na sisi tunalo kwa nini wasiende kupigana??
G. Kahama akajibu ''woote wanaogopa bhwana na Ma-siraha wamirudishaaa!!

OK! shida nini!! Chakula!??
Basi wakurya wakachanga ng'ombe kumi kumi! wakajitolea kwa wingi kwenda kuzichapa bana weee!! wkt mwingine risasi zikiisha wanazichapa ivoivo! walikuwa wanabeba nyama kavu! mifukoni! eebana weee! walikuwa hawapandi magari wao!!

ni mbio tu kwenye uwanja wa mapambano!! yaani wao kupigana na majeshi ya Idd Amini ilikuwa ni burudani kuubwa sana, kuliko kula Msosi!! wkti mwingine walikuwa wanalianzisha tu! ili zipigwe! yaani ukisha kula kichure mwili unawasha kupigwa pigwa ivi!

kwa uhodari huu Mkurya akienda Kagera na wakamjua ni MKurya anapewa anachotaka vizazi na vizazi wako ivo sijui kwa nini....wanawaita wakombozi!
 
Mavi ya ng'ombe yanaliwa huko, huchanganywa na nyongo na damu, huitwa kichuri
Ipi bora kula mavi ya ng'ombe au mavi ya mtu. Mara wanakula mavi ya ng'ombe, kwenu mnakula mavi ya binadamu. Afadhali kabila linalokula mavi ya ng'ombe kuliko kabila lako linalokula mavi ya binadamu.
 
Nikisoma kuhusu hii 👆huwa sielewi kuhusu Serengeti na uwiano wake kwa Mkoa wa Mara na Arusha.
Serengeti iko mkoa wa Mara. Ukitokea Serengeti National Park unaingia Ngorongoro.
 
Sijaona maajabu yoyote hapo.
Alafu umesahau kutaja kabila lako mwenyewe - Wangoreme.
Huyo ni kijana mdogo anaona sifa kutumia "corrupted pronunciation ya Mwingereza ya "Ngoreme" ambapo Mwingireza alitamka "Ngurimi".
 
AJABU LINGINE: Watu wa Mara wanaamini kazi ni JESHI tu! Mtu akijiunga na jeshi huyo ndiye Mfanyakazi....
Hiyo ilikuwa zamani. Ni kweli huko nyuma kazi kubwa ilikuwa jeshi. Kama mtanrda kuchumbia, mmoja ni mwanajeshi na mwingine ni mtumishi wa umma mwenye shahada, mwanajeshi asiye na cheo atakutolea mbali. Na hii ilitokea kwa ujasiri wa watu wa huko. Tulipopata uhuru majeshi yote (magereza, polisi, na jeshi) yalijaa watu wa Musoma. Huko Mara makanisa hayakufika mapema kwa nhiyo elimu pia ilichelewa. Majeshi yalitaka watu warefu na majasiri ni hizo sifa zili jaa kwa watu Mara.
 
Naitwa chacha mwita nyankoro komoyo from serengeti
Acha kudanganya kijana. Utakuwaje na moyo kwenye moyo? Kama una maana ya choyo, utakuwaje na choyo kwenye choyo. Hata kwenye "kwibhaka" hatuunganishi maneno yasiyoleta maana au ujumbe.
 
Washashi ndio wanaitwa Wasizaki.. Wasukuma ndio huwaita washashi.. Lakini pia Waikizu, Wazanaki na Wasizaki huwaita wasukuma 'Abhakiriti'
Washashi/Wasizaki ni ni trilingual. Wanaongea Kisizaki, Kiikizu, na Kisukuma! Na Pia wanaongea kiasi Kijita.
 
Tunaongelea uwepo wa Tanzanite Tanzania alafu mnufaika anakuwa India.

➡Ndicho kilichopo kwa Serengeti kuwepo mkoa wa Mara na mnufaika anakuwa Arusha.
Serikali imeufanya mkoa wa Arusha Kama Kitovu Cha Utalii ( Makao Makuu ).

Ndio maana hata Manyara hainufaiki na vivutio vyake, mpaka Tanzanite mishe mishe zote Arusha wakati iko Manyara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…