Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo yakionekana kuongeza deni la taifa kwa kiwango kidogo.
Tangu awamu ya sita iingie, zimeshakopwa zaidi ya Trillion 34! Hii ni fedha tosha ya kutandika miradi mingine mikubwa sana ya kimaendeleo hususan kwa nchi inayoendelea. Ila cha kushangaza na katika hali isiyo ya kawaida hakuna mradi wowote wa maana unaoendelea! Hakuna miradi mikubwa ya ujenzi na uchukuzi, hakuna miradi ya maji, hakuna miradi hata ya ujenzi wa barabara za msingi!
INASIKITISHA SANA