Maajabu! Aliyekopa kidogo kwa miaka 6 maendeleo yanaonekana, Ila aliyekopa Trilion 35 kwa miaka minne hakuna project ya maana inayoonekana!

Uzi wa kipuuzi sana huu na Watanzania mlivyo na Allergy za data hakuna data hata moja ku support uzi wako.

1. Jiwe hakukopa kidogo, inshort alikopa sana kushinda maraisi wote waliomtangulia. Wakati wake amekopa zaidi ya 10B usd ambazo ni hela za madafu kama Trillion 30

Source

2. Ukuaji wa Uchumi unapimwa kwa GDP na sio miradi, unaweza jenga miradi hewa kwa maelfu haimaanishi chochote kama GDP inadumaa, Jiwe aliua uchumi na kuuacha hoi ICU, ndani ya miaka mitatu tu toka 2021-2023 GDP imekua kwa $13B ambazo ni zaidi ya Trilioni 30, hatuna data za 2024 ila definetely ongezeko la uchumi ni kubwa kuliko Tulichokopa.
Una mafi kichwani
 
Nilichoona cha maana ni zile PR za birthday.
 
Wewe ni mpumbafu mkubwa

Huna akili
 
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo yakionekana kuongeza deni la taifa kwa kiwango kidogo.

Tangu awamu ya sita iingie, zimeshakopwa zaidi ya Trillion 34! Hii ni fedha tosha ya kutandika miradi mingine mikubwa sana ya kimaendeleo hususan kwa nchi inayoendelea. Ila cha kushangaza na katika hali isiyo ya kawaida hakuna mradi wowote wa maana unaoendelea! Hakuna miradi mikubwa ya ujenzi na uchukuzi, hakuna miradi ya maji, hakuna miradi hata ya ujenzi wa barabara za msingi!

INASIKITISHA SANA
 
Attachments

  • v09044g40000c75kmmjc77u2st2mtmsg.mp4
    2.9 MB

Alishindwa haji kutoa Ajira akiwa na visingizio visivyo na msingi 🤣🤣

Mama ana show Kali 👇👇

View: https://x.com/swahilitimes/status/1887476226823954570?t=ab7G3i5jxRhr0J6CD0mtnQ&s=19
 
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo yakionekana kuongeza deni la taifa kwa kiwango kidogo.

Tangu awamu ya sita iingie, zimeshakopwa zaidi ya Trillion 34! Hii ni fedha tosha ya kutandika miradi mingine mikubwa sana ya kimaendeleo hususan kwa nchi inayoendelea. Ila cha kushangaza na katika hali isiyo ya kawaida hakuna mradi wowote wa maana unaoendelea! Hakuna miradi mikubwa ya ujenzi na uchukuzi, hakuna miradi ya maji, hakuna miradi hata ya ujenzi wa barabara za msingi!

INASIKITISHA SANA
Unaandika kama vile huna ubongo kichwani!
Hiyo miradi wakati Magufuli anafariki ilikuwa kwenye asilimia ngapi na fedha za kumalizia hiyo miradi imetoka wapi?
 
Tumesafari sana sana na kulipana posho za kutosha ili tuifunguwe nchi! Ndege zimenunuliwa mpaka ya malkia ili asafari kwa Raha. Tumefanya ma shopping huko ili wasituone washamba. Tumerudisha masherehe yule mkuda aliokuwa anayakataa. Tumewasafirisha wasanii wetu nje ya nchi wajulikane! Tumepeleka wanyamapori wale big 5 unguja! Tumejijengea mabiashara ya kufa mtu sisi viongozi hata Abdul anakubali!
Hawa raia achana nawo, WADANGANYIKA hawana lolote kazi kulialia njaa tu! Nimewaambia wasaidizi wangu wawasambazie zile katilesi za unguja waache kelele za kulialia njaa!
 
Back
Top Bottom