Uzi wa kipuuzi sana huu na Watanzania mlivyo na Allergy za data hakuna data hata moja ku support uzi wako.
1. Jiwe hakukopa kidogo, inshort alikopa sana kushinda maraisi wote waliomtangulia. Wakati wake amekopa zaidi ya 10B usd ambazo ni hela za madafu kama Trillion 30
Source
Total external debt is debt owed to nonresidents repayable in currency, goods, or services. Total external debt is the sum of public, publicly guaranteed, and private nonguaranteed long-term debt, use of IMF credit, and short-term debt. Short-term debt includes all debt having an original...
2. Ukuaji wa Uchumi unapimwa kwa GDP na sio miradi, unaweza jenga miradi hewa kwa maelfu haimaanishi chochote kama GDP inadumaa, Jiwe aliua uchumi na kuuacha hoi ICU, ndani ya miaka mitatu tu toka 2021-2023 GDP imekua kwa $13B ambazo ni zaidi ya Trilioni 30, hatuna data za 2024 ila definetely ongezeko la uchumi ni kubwa kuliko Tulichokopa.