Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 491
Kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa TAnzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya Rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili Muundo wa serikali unaofaa kiuchumi:
kuna maswali mawili ya kujiuliza.
Kwanza;muda wote huu wasomi wetu walikuwa wapi??? Wakati warioba na tume wake walikuwa wakialika Watu washiriki???
Pili; hata kama wana mawazo mazuri inakuwaje wamezidiwa na Watu wa kawaida wasio wasomi wasiojua time management, wameweza kutumia muda wao kwa wao vizuri kuweza kutoa maoni?????? Ni Aibu kwa wasomi wetu
source:ITV