Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama serikali tatu zitakataliwa basi kuna haja ya Tanzania Bara iitwe Tanzania Pwani halafu miaka 50 ijayo iwe zamu ya bara.Kuna haja sasa ya kuwa na serikali ya muungano ambayo imeimeza Zanzibar na kuwa na serikali ya Tanganyika iliyo huru. Mbona muungano hauzungumzwi. Miaka 50 ijayo iwe zamu yao
naunga mkono huja yako kwa asilimia 100 mara 1
kama tunataka kuungana serikari nyingi za nn?
chezeeni huu utulivu uliopo ni haki mliyopewa na ibilisi! Ila mkumbuke kwamba hata mbuzi utambuluza wee, lakini akigoma na kulala chini lazima utambeba tu! Muda utasema!Hata wasingekaa, katika hali ya sasa haiwezekani tuwe na serikali tatu, za nini? mbili zenyewe tabu, tatu tutaweza? Hivi mnategemea hoja za akina LEMA, MBOWE , SUGU n.k zitengeneze Katiba? mimi mwenyewe ningeshangaa wasomi wa nchi hii.
Nyie ni watu wachache sana mtakunjwa kama karatasi na kutupwa jalalani.
Hata wasingekaa, katika hali ya sasa haiwezekani tuwe na serikali tatu, za nini? mbili zenyewe tabu, tatu tutaweza? Hivi mnategemea hoja za akina LEMA, MBOWE , SUGU n.k zitengeneze Katiba? mimi mwenyewe ningeshangaa wasomi wa nchi hii.
kwa kwa umri wako huo hautakaa ufikie hata robo ya shule ya wale jamaa.
Wanaotaka serikali moja (akiwemo Prof. Tibaijuka) wanapata 96% - wengi ni perfectionists. Wanaotaka serikali tatu wanapata 85% - wengi ni marealistics (wanaamini on the end to justify the mean). Wanaotaka serikali mbili wanapata 35% - ni watu wa mazoea (sijui kingereza chake).Mimi nataka serikali moja tu sitaki 3 za chadema wala sitaki 2 za ccm....
... Kwa kuwa umekiri kuwa haujaangalia TV, basi kwa taarifa tu ni kwamba wamewaumbua sana pia wanaotaka serikali mbili!Sijaangalia TV wala kuwaona popote, ila kwa reaction hii ya MLeta mada, Ben Saanane na Yeriko Nyerere ni wazi kabisa Wasomi wamewaumbua sana wanaoitaka serikali tatu.
Eti wale nao ni wasomi.Sijui niwaite slow learners au attention seekers sipati jawabu.Walikua wapi siku zote hadi rasimu inatungwa?Halafu wanashambulia serikali 3 .Hao wameunganishwa na itikadi ya Posho na kuuza sura tu.
They're craving for undue attention. Ni wasomi mizigo tena
Sijaangalia TV wala kuwaona popote, ila kwa reaction hii ya MLeta mada, Ben Saanane na Yeriko Nyerere ni wazi kabisa Wasomi wamewaumbua sana wanaoitaka serikali tatu.
kuna maswali mawili ya kujiuliza.
Kwanza;muda wote huu wasomi wetu walikuwa wapi??? Wakati warioba na tume wake walikuwa wakialika Watu washiriki???
Pili; hata kama wana mawazo mazuri inakuwaje wamezidiwa na Watu wa kawaida wasio wasomi wasiojua time management, wameweza kutumia muda wao kwa wao vizuri kuweza kutoa maoni?????? Ni Aibu kwa wasomi wetu
source:ITV
kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa tanzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili muundo wa serikali unaofaa kiuchumi:
Kuna maswali mawili ya kujiuliza.
Kwanza;muda wote huu wasomi wetu walikuwa wapi??? Wakati warioba na tume wake walikuwa wakialika watu washiriki???
Pili; hata kama wana mawazo mazuri inakuwaje wamezidiwa na watu wa kawaida wasio wasomi wasiojua time management, wameweza kutumia muda wao kwa wao vizuri kuweza kutoa maoni?????? Ni aibu kwa wasomi wetu
source:itv
Unafikiri hao wasomi wamekaa kiholela tu? hawajafuata utaratibu? mbona tunakuwa na vichwa vilivyolala kiasi hiki?