kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,678
1+1=2 nyerere
Kuna reason behind 1+1=2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1+1=2 nyerere
Eti professor. we have so many profs siwaheshim naona waganga njaa tu it mean walikosa muda kuiona tume ya waroba hadi leo ndio wanakumbuka shuka ikiwa kumwkuchwa ajabu ya karne
Kama na hao ni wasomi basi taifa hili limejaa wagonjwa wa akili,
Hao wanafanya mchezo wa kiccm ili kuhadaa watanzania kuwa wasomi wamebaini mfumo wa serikali tatu utaathiri uchumi wa nchi hivyo ni bora tubaki na limfumo lao la serikali mbili ambalo ni mauzauza tu
Kwa hiyo kwa akili zako zilivyo fupi Warioba anavyo tetea na kufafanua juu ya serikali 3 anasimamia upande wa CDM? Tambua 64% ya watanzania walipendekeza serikali 3 hivyo kwa kauli yako basi CDM ipo na wananchi tafauti na CCM unayoishabikia.Mimi nataka serikali moja tu sitaki 3 za chadema wala sitaki 2 za ccm....
Eti wale nao ni wasomi.Sijui niwaite slow learners au attention seekers sipati jawabu.Walikua wapi siku zote hadi rasimu inatungwa?Halafu wanashambulia serikali 3 .Hao wameunganishwa na itikadi ya Posho na kuuza sura tu.
They're craving for undue attention. Ni wasomi mizigo tena
Kwa hiyo kwa akili zako zilivyo fupi Warioba anavyo tetea na kufafanua juu ya serikali 3 anasimamia upande wa CDM? Tambua 64% ya watanzania walipendekeza serikali 3 hivyo kwa kauli yako basi CDM ipo na wananchi tafauti na CCM unayoishabikia.
Nyie ni watu wachache sana mtakunjwa kama karatasi na kutupwa jalalani.Wale walikuwa ni wapuuzi tu! Makamanda mimi nasema hv, bila serikali 3 ni bora tusiwe na muungano wa kijinga namna hii. Patachimbika
Hawa wamelipwa pesa nyingi kukaa hapo. Na walioandika paper pia watakuwa wamepewa pesa nyingi tu. Ili wahitimishe kwamba: Muungano wa serikali mbili ndio sawa na serikali tatu ni hatari sana!
Eti wale nao ni wasomi.Sijui niwaite slow learners au attention seekers sipati jawabu.Walikua wapi siku zote hadi rasimu inatungwa?Halafu wanashambulia serikali 3 .Hao wameunganishwa na itikadi ya Posho na kuuza sura tu.
They're craving for undue attention. Ni wasomi mizigo tena
Hawa wamelipwa pesa nyingi kukaa hapo. Na walioandika paper pia watakuwa wamepewa pesa nyingi tu. Ili wahitimishe kwamba: Muungano wa serikali mbili ndio sawa na serikali tatu ni hatari sana!
ccm kwa uzoefu hawafanyi mambo kwa jazba. Mfumo bora kwa muungano wa Tanganyika na zanzibar ni serikali mbili na hawayumbi kuhusu hilo. Vyama vingine vina jazba na kuhamasisha wananchi kufuata njia isiyokua na maslahi kwa mstakabali wa taifa. Wasomi sasa wanazinduka usingizini wakati Warioba kashatoa pendekezo kutokana na maoni yaliyotolewa kwa jazba badala ya hekima. Yeye pia inaelekea ana jazba. Ni wajibu wa bunge la katiba kupiga tiktak wazo la serikali tatu na kubakiza mambo yote mema ya tume ya Warioba.Kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa TAnzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya Rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili Muundo wa serikali unaofaa kiuchumi:
kuna maswali mawili ya kujiuliza.
Kwanza;muda wote huu wasomi wetu walikuwa wapi??? Wakati warioba na tume wake walikuwa wakialika Watu washiriki???
Pili; hata kama wana mawazo mazuri inakuwaje wamezidiwa na Watu wa kawaida wasio wasomi wasiojua time management, wameweza kutumia muda wao kwa wao vizuri kuweza kutoa maoni?????? Ni Aibu kwa wasomi wetu
source:ITV
Eti wale nao ni wasomi.Sijui niwaite slow learners au attention seekers sipati jawabu.Walikua wapi siku zote hadi rasimu inatungwa?Halafu wanashambulia serikali 3 .Hao wameunganishwa na itikadi ya Posho na kuuza sura tu.
They're craving for undue attention. Ni wasomi mizigo tena
kwa kwa umri wako huo hautakaa ufikie hata robo ya shule ya wale jamaa.
1+1=2 nyerere