Maajabu:baada ya Rasimu ya pili na bunge la katiba kuanzaWASOMI wajadili muundo wa serikali unaofaa

Munabusule

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
976
Reaction score
491
Kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa TAnzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya Rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili Muundo wa serikali unaofaa kiuchumi:
kuna maswali mawili ya kujiuliza.
Kwanza;muda wote huu wasomi wetu walikuwa wapi??? Wakati warioba na tume wake walikuwa wakialika Watu washiriki???

Pili; hata kama wana mawazo mazuri inakuwaje wamezidiwa na Watu wa kawaida wasio wasomi wasiojua time management, wameweza kutumia muda wao kwa wao vizuri kuweza kutoa maoni?????? Ni Aibu kwa wasomi wetu

source:ITV
 
Eti wale nao ni wasomi.Sijui niwaite slow learners au attention seekers sipati jawabu.Walikua wapi siku zote hadi rasimu inatungwa?Halafu wanashambulia serikali 3 .Hao wameunganishwa na itikadi ya Posho na kuuza sura tu.

They're craving for undue attention. Ni wasomi mizigo tena
 
kwa kwa umri wako huo hautakaa ufikie hata robo ya shule ya wale jamaa.
 
Katiba ni mchakato, siyo suala la wananchi wamesema no, hayo ni mawazo mgando.
 
Lakini CHADEMA huwa mnajinadi na Dr. wenu biblia kuwa ni msomi, je ni mgonjwa wa akili?
 
Sijaangalia TV wala kuwaona popote, ila kwa reaction hii ya MLeta mada, Ben Saanane na Yeriko Nyerere ni wazi kabisa Wasomi wamewaumbua sana wanaoitaka serikali tatu.
 
Katiba ni mchakato, siyo suala la wananchi wamesema no, hayo ni mawazo mgando.

Una maana gani kusema mchakato?Kwa hiyo katika mchakato hakuna utaratibu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Una maana gani kusema mchakato?Kwa hiyo katika mchakato hakuna utaratibu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Unafikiri hao wasomi wamekaa kiholela tu? hawajafuata utaratibu? mbona tunakuwa na vichwa vilivyolala kiasi hiki?
 
Eti professor. we have so many profs siwaheshim naona waganga njaa tu it mean walikosa muda kuiona tume ya waroba hadi leo ndio wanakumbuka shuka ikiwa kumwkuchwa ajabu ya karne
 
Mimi ni mwana CCM. Lakini kwangu serikali MOJA ndiyo msimamo wangu.
I wonder why hawaiongelei hii...hata chama kimoja
 
Una maana gani kusema mchakato?Kwa hiyo katika mchakato hakuna utaratibu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Upo utaratibu,lakini hiyo haimaanishi kuwa watu wengine hawatakiwi kujadili.
Mawazo yao yanaweza yawe/yasiwe na maana yeyote bali ni mawazo yao hata wangesema hayo mwaka 2059!
 
Muda wa katiba kuandikwa bado , wasomi wako sahihi
 
Upo utaratibu,lakini hiyo haimaanishi kuwa watu wengine hawatakiwi kujadili.
Mawazo yao yanaweza yawe/yasiwe na maana yeyote bali ni mawazo yao hata wangesema hayo mwaka 2059!

exactly sir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…