Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
R.I.P Magufuli
Nimecheka balaa. Inabidi uoe weweesafi sana
Kuanzia jana yamepanda tena kwenye soko la dunia baada ya nchi za magharibi kuweka ukomo wa bei kwa mafuta ya Urusi.Bei soko la Dunia imeshuka tatizo thamani yetu ya shilling against usd na kodi ya ndani, mwanga hauko mbali tuendelee kuvumilia, ni kagiza kabla ya kupambazuka...!!!
ili nigundue nini ?Inabidi uoe wewee
Acha uzuzu mkuu, effect hii tutakutana nayo January!,November crude oil imeshuka kutoka 95usd per barrel hadi 85usd per barrel, ilitakiwa mwezi huu bei ishuke,definitely mwezi ujao mafuta yatapanda, majirani zetu wote bei mwezi huu mafuta yatashukaKuanzia jana yamepanda tena kwenye soko la dunia baada ya nchi za magharibi kuweka ukomo wa bei kwa mafuta ya Urusi.
Bei ya mafuta haya inatumika ya miez miwili nyuma (Muda walioagiza)Acha uzuzu mkuu, effect hii tutakutana nayo January!,November crude oil imeshuka kutoka 95usd per barrel hadi 85usd per barrel, ilitakiwa mwezi huu bei ishuke,definitely mwezi ujao mafuta yatapanda, majirani zetu wote bei mwezi huu mafuta yatashuka