Kwani unge tumia lugha ya sitaha ungepungukiwa na nn?Acha uzuzu mkuu, effect hii tutakutana nayo January!,November crude oil imeshuka kutoka 95usd per barrel hadi 85usd per barrel, ilitakiwa mwezi huu bei ishuke,definitely mwezi ujao mafuta yatapanda, majirani zetu wote bei mwezi huu mafuta yatashuka
Apology mkuuKwani unge tumia lugha ya sitaha ungepungukiwa na nn?
Nimesha kwambia bei ya mafuta imepanda tangia juzi kwenye soko la dinia sasa unacho bisha ni nn?
Au ww ndio mchimba hayo mafuta?
Yes/No na pia itabidi local currency yetu iimarike na kodi za ndani zipungue, hapo Botswana 🇧🇼, diesel ni 17P maana hawatozi kodi nyingi na Pula ipo strong, hope's nasi tutakuja kununua 20TSHS per lita!Bei ya mafuta haya inatumika ya miez miwili nyuma (Muda walioagiza)
Nadhani sasa tutaanza kuagiza mafuta urusi mana inaruhusiwa hivyo nategemea price nzuri zaidi
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Kwani kuhusu makamba kwenda huko uarabuni na kutuambia kuwa amefanya mazungumzo na hao watoa mafuta na Tanzania itakuwa hub ya kusambaza mafuta na tutakua na bei nafuu imefika wapi?Kuanzia jana bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepanda tena kwa asilimia 3.
Shilingi yetu haijaporomoka kihivyo mkuu, bado ipo 2300+ tangiaBei soko la Dunia imeshuka tatizo thamani yetu ya shilling against usd na kodi ya ndani, mwanga hauko mbali tuendelee kuvumilia, ni kagiza kabla ya kupambazuka...!!!
Ukiwa unamuabudu jiwe kwenye kila hoja badala ya kukosoa au kuunga mkono hoja wewe ni msukule tu na sitaacha kukuita hivyoUnashangaa kitu gani,!? Siye tukilalamika vyakula umeme ,maji na mambo mengine chibi ya rais huyu wa mchongo unatuita sisi ni misukule ya mwendazake hii imekugusa unakuja kubung'aa hapa,pambana na hali yako swine.
Kaa kwa kutulia haina mabega ukitikisika utaumia zaidi[emoji23]Ukiwa unamuabudu jiwe kwenye kila hoja badala ya kukosoa au kuunga mkono hoja wewe ni msukule tu na sitaacha kukuita hivyo
Wewe ni msukuleKaa kwa kutulia haina mabega ukitikisika utaumia zaidi[emoji23]
Hiyo sio mafuta iyo west Texas intermediate oil.#BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita.
Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba 07, 2022.
Wakati huo huo bei za mafuta zimezidi kushuka zaidi kwenye soko la dunia ambapo sasa ni dola 79 kwa pipa moja
Bei hii ni sawa na bei iliyokuwepo kabla ya vita ya Urusi na Ukraine iliyoanza mwezi wa 2 mwaka huu, ambapo kipindi hicho hapa nchini yalikuwa yakiuzwa kati ya shilingi 2400 na 2500
Angalia graph hii hapa chini kuhusu bei za mafuta duniani
View attachment 2438034
Yanashuka bana Tena Jana yameshuka mnoKuanzia jana yamepanda tena kwenye soko la dunia baada ya nchi za magharibi kuweka ukomo wa bei kwa mafuta ya Urusi.
Mafuta saivi wanapeana tenda za kuagiza kiswahiba kwa Nini watu wasiongee namna ya kuwala wajinga na wanapeana chaoR.I.P Magufuli
Hakuna kitu kama price nzuri we tegemea kipigo hata wakiuziwa litre bukuBei ya mafuta haya inatumika ya miez miwili nyuma (Muda walioagiza)
Nadhani sasa tutaanza kuagiza mafuta urusi mana inaruhusiwa hivyo nategemea price nzuri zaidi
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Unajua Mafuta Tunayotumia Yameagizwa Lini?Kuanzia jana yamepanda tena kwenye soko la dunia baada ya nchi za magharibi kuweka ukomo wa bei kwa mafuta ya Urusi.
Kama Marekani ameshindwa itakuwa Tanzagiza?Kwani kuhusu makamba kwenda huko uarabuni na kutuambia kuwa amefanya mazungumzo na hao watoa mafuta na Tanzania itakuwa hub ya kusambaza mafuta na tutakua na bei nafuu imefika wapi?
Au ilikua janja ya kutuzuga baada ya kupigiwa kerere kua amekwenda kutafuna pesa za nchi kwa kuangalia upandaji wa majani jangwani?
Atakuja mwendawazimu kuongea hivi hadharaniBado ni bei nafuu ukilinganisha na bei ya U.S.A.
Ona ng'ombe nyingine inafananisha USA na huku kwa mchambawima ebu tuwe c'riaz basi kwenye mambo ya msingi.Bado ni bei nafuu ukilinganisha na bei ya U.S.A.