Uchaguzi 2020 Maajabu: Fomu ya kuomba Wadhamini ya Mgombea wa CCM inatembezwa na Viongozi wa CCM Makao Makuu...

Wadhamini ni mamantilie na bodaboda wanaopewa mafuta ili kusaini, wanyonge ni watu wa kuridhika na kitu kidogo!
 
Hili si jambo la kitoto kama unavyotaka kuaminisha watu hapa
Nawe kachukue fomu halafu umpe Membe akutafutie wadhamini. Kila mtu anampa anayemwamini. Kuwa kiongozi wa chama Haina maana huwezi kumchagua unayemtaka.
 
Wazinzi mnaghubu sana
 
Mbona ilitangazwa kabisa kwamba kama Rais wa TZ anatoka CCM, akimaliza miaka mitano ya kwanza ya urais, atakuwa mgombea pekee kwa tikiti ya CCM ili awe rais kwa miaka yote 10 anayoruhusiwa na Katiba ya Chama. Sasa huyo mgombea mwingine atoke wapi?
Sielewi kwanini chadema wanalialia, mgombea urais mwingine wamlete wao apambane na Joni, au hawana mgombea?
 
Reactions: mmh
Akili yako unaijua mwenye. Huyu ni mwenyekiti wa chama na Wafanyakazi wa chama ni Wafanyakazi wake! Unataka nani akaitembeze fomu?
 
tupe ibara ya katiba ya ccm tuione
Mbona umekomaa Sana na Mambo ya CCM yanakuhusu kivipi? Huko chadema mmeshapata mgombea?
Makamanda wamesema mnaenda kushinda uchaguzi na kuchukua dola Sasa hofu yako Nini Kama Kuna Jambo la kubadilisha subiri October rais toka chadema atabadilisha. Tatizo hata wewe hujui mgombea urais kwa tiketi ya chama chako chadema ni Nani na hajulikani.
 
Yanakuhusu, na wewe si ukatembeze ya DJ
 
Reactions: mmh
Tatizo la Hawa jamaa nyumbu kazi yao ni pingapinga Fc, ni kupinga kila kitu bila kufikiria na hawakumbuki Jana walipinga Nini.
 
JPM aliyetafuta wadhamini 2015 sio huyu unaemzungumzia leo. Kuwa na adabu alafu jifunze kufahamu mambo.
Sasa hivi ni head of state,tambua hilo.
Achana nao hao nyumbu, wanadhani mwenyekiti wao wa chadema anavyozurula usiku kwenye mabaa akilewa na mwenyekiti wa CCM nae anaweza kuzurula ovyo. Huyu ni rais wa JMT.
 
Fomu ya JK kwa mwaka 2010 ilitembezwa na maafisa waandamizi wa makao makuu, baadhi ya vijana wa vyuo vikuu, makada wa CCM waliopikwa na kuiva na watu wa karibu nchi nzima...
 

Mzinzi wa taifa ana wadhamini wangapi hadi sasa?
 
Achani kucheza mziki wa CCM, leteni cv za wagombea wa Chadema tujue uwezo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…