Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu. Dkt Magufuli ni jembe letu! Mungu ambariki sana.
Nawe kachukue fomu halafu umpe Membe akutafutie wadhamini. Kila mtu anampa anayemwamini. Kuwa kiongozi wa chama Haina maana huwezi kumchagua unayemtaka.Hili si jambo la kitoto kama unavyotaka kuaminisha watu hapa
Wazinzi mnaghubu sanaUtaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015 akiwemo mkulima kapuku wa Kigoma waliwajibika wenyewe kutafuta wadhamini , lakini Rodrick Mpogolo ambaye ni kiongozi wa Makao Makuu anahangaika kumtafutia wadhamini Mgombea aliyeomba mwenyewe kugombea urais .
Sasa swali ni iwapo kutakuwa na wagombea wengine kama inavyotarajiwa na wanaccm , viongozi wa Makao Makuu watajigawa namna gani , kwanini wasiache wagombea wajitafutie wenyewe wadhamini?
jikite kwenye madaWazinzi mnaghubu sana
Kwani TLP ni Wana CCM? Hao wanadhamini mgombea urais wa JMT hata wewe unaruhusiwa.Je ni wanaccm?
Sielewi kwanini chadema wanalialia, mgombea urais mwingine wamlete wao apambane na Joni, au hawana mgombea?Mbona ilitangazwa kabisa kwamba kama Rais wa TZ anatoka CCM, akimaliza miaka mitano ya kwanza ya urais, atakuwa mgombea pekee kwa tikiti ya CCM ili awe rais kwa miaka yote 10 anayoruhusiwa na Katiba ya Chama. Sasa huyo mgombea mwingine atoke wapi?
Akili yako unaijua mwenye. Huyu ni mwenyekiti wa chama na Wafanyakazi wa chama ni Wafanyakazi wake! Unataka nani akaitembeze fomu?Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015 akiwemo mkulima kapuku wa Kigoma waliwajibika wenyewe kutafuta wadhamini , lakini Rodrick Mpogolo ambaye ni kiongozi wa Makao Makuu anahangaika kumtafutia wadhamini Mgombea aliyeomba mwenyewe kugombea urais .
Sasa swali ni iwapo kutakuwa na wagombea wengine kama inavyotarajiwa na wanaccm , viongozi wa Makao Makuu watajigawa namna gani , kwanini wasiache wagombea wajitafutie wenyewe wadhamini?
JPM aliyetafuta wadhamini 2015 sio huyu unaemzungumzia leo. Kuwa na adabu alafu jifunze kufahamu mambo.Wamwache mwenyewe atafute wadhamini kama alivyofanya 2015
Mbona umekomaa Sana na Mambo ya CCM yanakuhusu kivipi? Huko chadema mmeshapata mgombea?tupe ibara ya katiba ya ccm tuione
Yanakuhusu, na wewe si ukatembeze ya DJUtaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015 akiwemo mkulima kapuku wa Kigoma waliwajibika wenyewe kutafuta wadhamini , lakini Rodrick Mpogolo ambaye ni kiongozi wa Makao Makuu anahangaika kumtafutia wadhamini Mgombea aliyeomba mwenyewe kugombea urais .
Sasa swali ni iwapo kutakuwa na wagombea wengine kama inavyotarajiwa na wanaccm , viongozi wa Makao Makuu watajigawa namna gani , kwanini wasiache wagombea wajitafutie wenyewe wadhamini?
Tatizo la Hawa jamaa nyumbu kazi yao ni pingapinga Fc, ni kupinga kila kitu bila kufikiria na hawakumbuki Jana walipinga Nini.Jakaya alipochukua fomu ya kuwania Urais 2010 na kumpa Mwanachama mwenzake Ridhwan Kikwete amtaftie wadhamini basi kina Saeed kubenea na wana Chadema wenzie walimtukana sana Jk kwa madai eti kadharau Viongozi wenzake ambao wangeweza kumsaidia kupata wadhamin, leo hao hao wanapinga ushauri wao
Viva Ngosha
Acha ujinga, chadema ndo mlisema ni mgombea wenu Sasa mnamgwaya JPM mnataka Membe agombee, Kama mnamtaka Membe mwambieni Mbowe ampishe.Membe
Achana nao hao nyumbu, wanadhani mwenyekiti wao wa chadema anavyozurula usiku kwenye mabaa akilewa na mwenyekiti wa CCM nae anaweza kuzurula ovyo. Huyu ni rais wa JMT.JPM aliyetafuta wadhamini 2015 sio huyu unaemzungumzia leo. Kuwa na adabu alafu jifunze kufahamu mambo.
Sasa hivi ni head of state,tambua hilo.
Fomu ya JK kwa mwaka 2010 ilitembezwa na maafisa waandamizi wa makao makuu, baadhi ya vijana wa vyuo vikuu, makada wa CCM waliopikwa na kuiva na watu wa karibu nchi nzima...Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015 akiwemo mkulima kapuku wa Kigoma waliwajibika wenyewe kutafuta wadhamini , lakini Rodrick Mpogolo ambaye ni kiongozi wa Makao Makuu anahangaika kumtafutia wadhamini Mgombea aliyeomba mwenyewe kugombea urais .
Sasa swali ni iwapo kutakuwa na wagombea wengine kama inavyotarajiwa na wanaccm , viongozi wa Makao Makuu watajigawa namna gani , kwanini wasiache wagombea wajitafutie wenyewe wadhamini?
He!kumbe tutake tusitake ,haya bwana ngoja mungu atupe pumziWivu utawaua. JPM ndiye rais wetu mtake msitake.
Ushindi lazimaHe!kumbe tutake tusitake ,haya bwana ngoja mungu atupe pumzi