Uchaguzi 2020 Maajabu: Fomu ya kuomba Wadhamini ya Mgombea wa CCM inatembezwa na Viongozi wa CCM Makao Makuu...

Ushindi lazima
We muongo hakuna cha ushindi wa lazima kwani yeye ndo anajipigia kura? Kwanini
Wana Ccm mnajitoa ufahamu kama vile MNA hati miliki na nchi hii.acheni izo na tupo sasa maana umenipa hasra na kwa kusema ni lazima tiyari umempunguzia kura za kutosha .mnamharibia sana mgombea wenu
 
Wapi imeandikwa kwamba ukichukua form sharti uitembeze wewe mwenyewe mtia nia. Ucha kukariri wewe kuwa mchambuzi
 
Reactions: mmh
Fomu imechapishwa moja tu hiyo ndio demokrasia ya lumumba,wao hawana jipya ni mbowe tu kila uchwao.
Naskia mgombea wao ni kama kim kule korea yeye ndio rais wa maisha
 
Hao wanaozunguka kumtafutia wadhamini ndo wapambe wake kama ulivyotangulia kusema na CCM haimpangii mgombea wapambe, vipi tena mwana UFIPA ya LUMUMBA unayafuatilia ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…