4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
We muongo hakuna cha ushindi wa lazima kwani yeye ndo anajipigia kura? KwaniniUshindi lazima
Wana Ccm mnajitoa ufahamu kama vile MNA hati miliki na nchi hii.acheni izo na tupo sasa maana umenipa hasra na kwa kusema ni lazima tiyari umempunguzia kura za kutosha .mnamharibia sana mgombea wenu