Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza.

Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC ilivyo sasa Kimchezo huku Kipigo Kikali cha Shalubela au Paka Shume kikiwasubiria hapo tarehe 8 May, 2021.

Kama kuna Kocha ambaye namuonea Huruma ni Juma Mwambusi wa Yanga SC kwani huenda Kipigo Kitakatifu atakachokipata tarehe hiyo tajwa hapa juu kutoka kwa Simba SC huenda tatizo lake Kubwa la Moyo, Figo na Bandama likarejea na kuyaanza Maisha mapya katika Majokofu ya Muhimbili Referral Hospital.

Kama Mwarabu Al Ahly Kafa huku Mkongo nae AS Vita Club nae Kafariki kabisa Jana Wewe unayeshindia Mihogo na Makande huko Maporini AVIC Kigamboni utaweza kweli kulizuia ' Pira Sharma ' la Mnyama Simba SC?
 
IMG-20210404-WA0007.jpg
 
Nyie hao prison tu wanawajambisha.....Yanga ndio kabisa hamfurukuti....bado mpira wenu ni wa mazingaombwe zaidi maana si nyie mlipigwa hata na kina masao Bwire ruvu msimu huu?
Jinsi mnavyoshinda hizo game za caf hata nyie mnashangaaa sometimes
 
Ila utopolo maisha ya dhiki wametoka nayo mbali.
FB_IMG_1617468034918.jpg
 
Nyie hao prison tu wanawajambisha.....Yanga ndio kabisa hamfurukuti....bado mpira wenu ni wa mazingaombwe zaidi maana si nyie mlipigwa hata na kina masao Bwire ruvu msimu huu?
Jinsi mnavyoshinda hizo game za caf hata nyie mnashangaaa sometimes
Yaani hata kusema asante tu kwa kuwatupia mbeleko mumeshindwa ,kweli nyie manyani.
FB_IMG_1612867223083.jpg
 
Nyie hao prison tu wanawajambisha.....Yanga ndio kabisa hamfurukuti....bado mpira wenu ni wa mazingaombwe zaidi maana si nyie mlipigwa hata na kina masao Bwire ruvu msimu huu?
Jinsi mnavyoshinda hizo game za caf hata nyie mnashangaaa sometimes

Sasa kama Simba SC inashinda CL CAF kwa Mazingaombwe ( Uchawi ) kwanini na nyie Yanga SC msiroge ili msiendelee Kuukosa Ubingwa wa VPL kwa mwaka wa Tatu mfululizo na pia mjiroge Wenyewe hasa Kamati yenu ya Usajili ili iwe inawasajalia Wachezaji Mahiri na wenye mkubwa na binafsi kama waliopo ( wanaopatikana ) Simba SC?
 
Sie raha yetu ni kuwafunga nyie tu na hilo lipo ndani ya uwezo wetu
 
Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza.

Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC ilivyo sasa Kimchezo huku Kipigo Kikali cha Shalubela au Paka Shume kikiwasubiria hapo tarehe 8 May, 2021.

Kama kuna Kocha ambaye namuonea Huruma ni Juma Mwambusi wa Yanga SC kwani huenda Kipigo Kitakatifu atakachokipata tarehe hiyo tajwa hapa juu kutoka kwa Simba SC huenda tatizo lake Kubwa la Moyo, Figo na Bandama likarejea na kuyaanza Maisha mapya katika Majokofu ya Muhimbili Referral Hospital.

Kama Mwarabu Al Ahly Kafa huku Mkongo nae AS Vita Club nae Kafariki kabisa Jana Wewe unayeshindia Mihogo na Makande huko Maporini AVIC Kigamboni utaweza kweli kulizuia ' Pira Sharma ' la Mnyama Simba SC?
Mbumbumbu katika ubora wako
 
Back
Top Bottom