Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

Mtoa post ni Simba mwenzetu,Simba wengine wanampalamia kwa makucha.
Mueleweni basi mleta mada nae ni shabiki wa Simba.
Pale Mbumbumbu mwenye unafuu kidogo, anapojaribu kuwashauri mbumbumbu wenzake ambao wako katika hali ya umbumbumbu uliopitiliza! 😁😁😁😁

Wananchi tumekaa tu pembeni tukiwaangalia mnavyo paramiana.
 
Pale Mbumbumbu mwenye unafuu kidogo, anapojaribu kuwashauri mbumbumbu wenzake ambao wako katika hali ya umbumbumbu uliopitiliza! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wananchi tumekaa tu pembeni tukiwaangalia mnavyo paramiana.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtoa post ni Simba mwenzetu,Simba wengine wanampalamia kwa makucha.
Mueleweni basi mleta mada nae ni shabiki wa Simba.
Generalist ni yule yule All-Rounder Ni utopolo wa kutupwa!! Tafuta nyuzi na post zake kwa majina hayo ili ujiridhishe na Hilo! Kwa siku za hivi karibuni amejaribu kujifanya ni mshabiki wa Simba huku akiikandia Simba!! Tunaomfahamu tangu siku nyingi hatukuchelewa kumfunua utopolo huyu mkubwa!!
 
Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza.

Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC ilivyo sasa Kimchezo huku Kipigo Kikali cha Shalubela au Paka Shume kikiwasubiria hapo tarehe 8 May, 2021.

Kama kuna Kocha ambaye namuonea Huruma ni Juma Mwambusi wa Yanga SC kwani huenda Kipigo Kitakatifu atakachokipata tarehe hiyo tajwa hapa juu kutoka kwa Simba SC huenda tatizo lake Kubwa la Moyo, Figo na Bandama likarejea na kuyaanza Maisha mapya katika Majokofu ya Muhimbili Referral Hospital.

Kama Mwarabu Al Ahly Kafa huku Mkongo nae AS Vita Club nae Kafariki kabisa Jana Wewe unayeshindia Mihogo na Makande huko Maporini AVIC Kigamboni utaweza kweli kulizuia ' Pira Sharma ' la Mnyama Simba SC?
Tupe na matokeo ya mechi yenu na Prisons, tena wakicheza pungufu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu fc bwana. Wazee wa kujitia dole mkunduni alafu wananusa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Generalist ni yule yule All-Rounder Ni utopolo wa kutupwa!! Tafuta nyuzi na post zake kwa majina hayo ili ujiridhishe na Hilo! Kwa siku za hivi karibuni amejaribu kujifanya ni mshabiki wa Simba huku akiikandia Simba!! Tunaomfahamu tangu siku nyingi hatukuchelewa kumfunua utopolo huyu mkubwa!!
Yule ndo mnafki mkuu wa jamii forum.
Hata kwenye siasa ana undumi la kuwili.
 
Back
Top Bottom