Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

Kichapo kwa wakubwa
FC Platnumz alipigwa 4, Al Hilal alipigwa 4, Vita akapigwa 4. Halafu unaleta kidomo domo na yanga yako, hovyo kabisa
20210407_172745.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza.

Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC ilivyo sasa Kimchezo huku Kipigo Kikali cha Shalubela au Paka Shume kikiwasubiria hapo tarehe 8 May, 2021.

Kama kuna Kocha ambaye namuonea Huruma ni Juma Mwambusi wa Yanga SC kwani huenda Kipigo Kitakatifu atakachokipata tarehe hiyo tajwa hapa juu kutoka kwa Simba SC huenda tatizo lake Kubwa la Moyo, Figo na Bandama likarejea na kuyaanza Maisha mapya katika Majokofu ya Muhimbili Referral Hospital.

Kama Mwarabu Al Ahly Kafa huku Mkongo nae AS Vita Club nae Kafariki kabisa Jana Wewe unayeshindia Mihogo na Makande huko Maporini AVIC Kigamboni utaweza kweli kulizuia ' Pira Sharma ' la Mnyama Simba SC?
Mchezaji anamiaka 35 ndio wa kumshangilia wakupuuzwa amewekwa anakula badala ya kufanya mazoezi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom