Pale Mbumbumbu mwenye unafuu kidogo, anapojaribu kuwashauri mbumbumbu wenzake ambao wako katika hali ya umbumbumbu uliopitiliza! ππππMtoa post ni Simba mwenzetu,Simba wengine wanampalamia kwa makucha.
Mueleweni basi mleta mada nae ni shabiki wa Simba.
[emoji28][emoji28][emoji28]Pale Mbumbumbu mwenye unafuu kidogo, anapojaribu kuwashauri mbumbumbu wenzake ambao wako katika hali ya umbumbumbu uliopitiliza! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wananchi tumekaa tu pembeni tukiwaangalia mnavyo paramiana.
Nyinyi viti maalum subirini Simba a.k.a Ndungai awabebe kama Covid 19.Huu ushabiki wa kipumbavu inawezekana uko Tanzania tu.
Sawa dada mvaa vjoraSie raha yetu ni kuwafunga nyie tu na hilo lipo ndani ya uwezo wetu
Generalist ni yule yule All-Rounder Ni utopolo wa kutupwa!! Tafuta nyuzi na post zake kwa majina hayo ili ujiridhishe na Hilo! Kwa siku za hivi karibuni amejaribu kujifanya ni mshabiki wa Simba huku akiikandia Simba!! Tunaomfahamu tangu siku nyingi hatukuchelewa kumfunua utopolo huyu mkubwa!!Mtoa post ni Simba mwenzetu,Simba wengine wanampalamia kwa makucha.
Mueleweni basi mleta mada nae ni shabiki wa Simba.
Tupe na matokeo ya mechi yenu na Prisons, tena wakicheza pungufu.Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza.
Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC ilivyo sasa Kimchezo huku Kipigo Kikali cha Shalubela au Paka Shume kikiwasubiria hapo tarehe 8 May, 2021.
Kama kuna Kocha ambaye namuonea Huruma ni Juma Mwambusi wa Yanga SC kwani huenda Kipigo Kitakatifu atakachokipata tarehe hiyo tajwa hapa juu kutoka kwa Simba SC huenda tatizo lake Kubwa la Moyo, Figo na Bandama likarejea na kuyaanza Maisha mapya katika Majokofu ya Muhimbili Referral Hospital.
Kama Mwarabu Al Ahly Kafa huku Mkongo nae AS Vita Club nae Kafariki kabisa Jana Wewe unayeshindia Mihogo na Makande huko Maporini AVIC Kigamboni utaweza kweli kulizuia ' Pira Sharma ' la Mnyama Simba SC?
Huyu ni Josh OnyangoYaani hata kusema asante tu kwa kuwatupia mbeleko mumeshindwa ,kweli nyie manyani.View attachment 1743656
Tupe na matokeo ya mechi yenu na Prisons, tena wakicheza pungufu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Jitahidi kuwa na matokeo yote kwanzaMatokeo niliyonayo ni ya Yanga SC na Coastal Union ya Tanga na yale ya Yanga SC na African Sports ya Tanga pia ( Mechi yenu ya Kirafiki ) je, nikupe hayo?
Mkuu kushindwa kumtambua shabiki mwenzetu ndo umbumbumbu wenyewe huo kama alivyosema Rage.Mtoa post ni Simba mwenzetu,Simba wengine wanampalamia kwa makucha.
Mueleweni basi mleta mada nae ni shabiki wa Simba.
Frederick Mwakalebela huyuAcha wewe si joash huyu?
Frederick Mwakalebela huyu
Hahaa, hawa jamaa wanafanaHuu uandishi umenikumbusha Gentamycine.
Huu uandishi umenikumbusha Gentamycine.
Hahaa, hawa jamaa wanafana
Gentamycine
All rounder
Generalist
Mzukulu
Ndio ndio ingependeza sanaUnatamani angekubebesha na Mimba?
Yule ndo mnafki mkuu wa jamii forum.Generalist ni yule yule All-Rounder Ni utopolo wa kutupwa!! Tafuta nyuzi na post zake kwa majina hayo ili ujiridhishe na Hilo! Kwa siku za hivi karibuni amejaribu kujifanya ni mshabiki wa Simba huku akiikandia Simba!! Tunaomfahamu tangu siku nyingi hatukuchelewa kumfunua utopolo huyu mkubwa!!
Achana na intera - hamwe lazima sense na mwendo wa kujifichaficha.Wewe Mzukulu kila siku unachange ID