Ukweli mi pia nashindwa nishike wapi.Wote mmoja wao akishinda nitashangaa kweli kweli.Basi kumbe bado tunamhitaji mkoloni mweupe maana huyu mweusi hawezi!!Nimeandika tu kuhare maono yangu.
October nikisikia CCM imeshindwa nitashangaa, na nikisikia chama pinzani kimeshinda uchaguzi mkuu nitashangaa pia.
Lakini kwani uongo mami ?Visingizio vingi sana. Mara tume huru,mara tumezuiwa mikutano,mara Corona virus. Kwa ufupi Jaduong mmeshakwisha.
SukariKweli mkuu, wengi wa watanzania ni waoga, lakini ni kwa sababu bado hali ngumu hatujaipata ya kutufanya tuwe na maamuzi magumu.
Ila ukitokea watu wakashindwa kupata mahitaji ya msingi itakuwa rahisi kuweza kuondoa uoga. maana unakuwa huna chuguo la sivyo ufe.
Sasa ni bora kufa unajipigania kuliko kufa kikondoo.
Yeah, labda iwe hivyo vinginevyo ni ngumu mtu kuondoa woga ilihali mambo anaona yanamuendea sawa.Sukari
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Vinatakiwa kuadimika ili watangnyike wapate akili za kupigania maisha yao
Jaduong sio kweli. Mnatafuta kisingizio sababu mmeshashindwa kabla hata ya kipyenga kupigwa.Lakini kwani uongo mami ?
Odhis *
Mpindueni kwanza kamanda wa kubadili gia angani.Ww umezungumza kitu ninachosisitiza mara kwa mara. Ukiona chama kimekaa madarakani zaidi ya miaka 30, na kinaendelea kukaa madarakani kwa nguvu ya dola na sio ushawishi, basi machafuko ndio njia pekee ya kukitoa madarakani.
Hata mimi naunga hoja yako hii, hata kwa kuangalia mara nyingi hawa ccm hawashindi kivile sema kunakuwa na nyongeza ya ushindi ambayo inachagizwa na mambo mengne mengi,kama watu kuuza kadi zao na wazee wetu ambao ni wapiga kula wazuri lakini pia ni waumini watiifu wa CCM,,,Hao CCM mnawapa sifa zisizo stahili.wenye ccm wenyewe wanajua ccm haijawahi kushinda uchaguzi wa rais na wabunge wengi kwa chaguzi kadhaa na ndiyo sababu hawawezi kukubaliana na wazo la tume huru ya uchaguzi wala katiba mpya.nikuunga mkono kwamba after 15 years wajinga watakuwa wameisha nchi hii na hivyo watanzania wataweza kuamua wenyewe juu ya tume huru na katiba mpya badala ya kusubiri mwenyekiti wa ccm ndiye awaamulie