Uchaguzi 2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

Uchaguzi 2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

Nimeandika tu kuhare maono yangu.
October nikisikia CCM imeshindwa nitashangaa, na nikisikia chama pinzani kimeshinda uchaguzi mkuu nitashangaa pia.
Ukweli mi pia nashindwa nishike wapi.Wote mmoja wao akishinda nitashangaa kweli kweli.Basi kumbe bado tunamhitaji mkoloni mweupe maana huyu mweusi hawezi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, wengi wa watanzania ni waoga, lakini ni kwa sababu bado hali ngumu hatujaipata ya kutufanya tuwe na maamuzi magumu.

Ila ukitokea watu wakashindwa kupata mahitaji ya msingi itakuwa rahisi kuweza kuondoa uoga. maana unakuwa huna chuguo la sivyo ufe.
Sasa ni bora kufa unajipigania kuliko kufa kikondoo.
Sukari
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Vinatakiwa kuadimika ili watangnyike wapate akili za kupigania maisha yao
 
Sukari
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Vinatakiwa kuadimika ili watangnyike wapate akili za kupigania maisha yao
Yeah, labda iwe hivyo vinginevyo ni ngumu mtu kuondoa woga ilihali mambo anaona yanamuendea sawa.
 
Wananchi wanahitaji mbadala bora, na sio Bora mbadala.

Chadema na ACT hawako serious na siasa, wanaonekana kutumia jukwaa lao kuendesha maisha yao na sio siasa za kumsadia mpiga kura.

Hopefully NCCR-MAGEUZI wameanza kujiimarisha tena ili warudi kwenye nguvu waliyokuwanayo enzi za kina Lamwai na Marando.
Sie tuliokul chumvi, tunaikumbuka NCCR ya miaka ya 90. Gafla Ubinafsi na maslahi binafsi viliwamaliza wakapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ila walikuwa na nafasi nzuri enzi zile kuipindua CCM. Waanze upya, wasirudie makosa. Wanaweza tuvusha.
 
Ww umezungumza kitu ninachosisitiza mara kwa mara. Ukiona chama kimekaa madarakani zaidi ya miaka 30, na kinaendelea kukaa madarakani kwa nguvu ya dola na sio ushawishi, basi machafuko ndio njia pekee ya kukitoa madarakani.
Mpindueni kwanza kamanda wa kubadili gia angani.
 
Hao CCM mnawapa sifa zisizo stahili.wenye ccm wenyewe wanajua ccm haijawahi kushinda uchaguzi wa rais na wabunge wengi kwa chaguzi kadhaa na ndiyo sababu hawawezi kukubaliana na wazo la tume huru ya uchaguzi wala katiba mpya.nikuunga mkono kwamba after 15 years wajinga watakuwa wameisha nchi hii na hivyo watanzania wataweza kuamua wenyewe juu ya tume huru na katiba mpya badala ya kusubiri mwenyekiti wa ccm ndiye awaamulie
Hata mimi naunga hoja yako hii, hata kwa kuangalia mara nyingi hawa ccm hawashindi kivile sema kunakuwa na nyongeza ya ushindi ambayo inachagizwa na mambo mengne mengi,kama watu kuuza kadi zao na wazee wetu ambao ni wapiga kula wazuri lakini pia ni waumini watiifu wa CCM,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom