Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Sijawahi kulipa Deni la Bodi tangu nimalize Chuo mwaka 2007,ni ujinga kulipa deni hilo wakati ni jukumu lao kutusomesha
Bro wewe na Mimi tuna moyo mmoja Mimi nasema mpk waweke sawa hicho chombo ndio nitajisalimisha kimewaibia maskini Sana..Mara makato yawe juu Mara faini.,,Mara rentetion ,,,

Yaan Mtu anaamka from know where anaingiza makato kihuni..
 
Nchi hii ina unyonyaji sana. Yaani mtu analipwa gross ya 1.2 halafu wanakata mpaka anabaki na laki 5!! Laki 5 hapo sasa ule, watoto waende shule, upate nauli, ulipe kodi ya nyumba huku ukinunua mifuko ya sementi ili uanze kujenga yako, ulipe michango ya harusi na vifo... halafu hautakiwi kula rushwa. Hii mishahara inatakiwa kurekebishwa haraka sana.
Subiri Kwa hamu Mei Mosi.
Maza Kasema.
 
Nchi hii ina unyonyaji sana. Yaani mtu analipwa gross ya 1.2 halafu wanakata mpaka anabaki na laki 5!! Laki 5 hapo sasa ule, watoto waende shule, upate nauli, ulipe kodi ya nyumba huku ukinunua mifuko ya sementi ili uanze kujenga yako, ulipe michango ya harusi na vifo... halafu hautakiwi kula rushwa. Hii mishahara inatakiwa kurekebishwa haraka sana.
Ni kweli mkuu
 
We jamaa ni juha kabisa. Kwanza umeanika financial status yako yote mtandaoni kila mtu aone pili kupitia misifa yako ushawagutusha HESBL kiasi cha kuponza wenzio ambao walipona kimya kimya.
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?

View attachment 2099893

View attachment 2099882View attachment 2100005
Wewe unataka na wengine tuliofutiwa kimeujiza, waanze ufuatiliaji watukamate tena si ungekausha tu
 
Back
Top Bottom