Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Akili yako mbovu kuliko hata ya mwalimu unayemdharau!! Nani kakwambia mtoa mada kaweka hapa slary slip ili kuonyesha ukubwa wa mshahara wake? Kusoma hauelewi hapa picha pia hauelewi?!! Kwa hiyo wewe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeweka hapa JF ili watu waone mshahara wako ulivyo mkubwa?
Huna akili kama huyo mwalimu mwenzio ndo maana umemshauri aondoe hizo salary slip ambazo alitarajiwa kusifiwa kwa mshahara mkubwa kumbe ni peanuts tu.
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?

View attachment 2099882

Sasa mbona kama ipo wazi umelipa zaidi ya unachodaiwa?
 
Mijitu mingine mnapenda sifa. Msomi gani wewe unafikiri HESLB hawamo humu?. Au ni kwamba umeshiba sana hela wewe?. Tusio na pesa ndio tunaongoza kwa kujifanya hatuna shida na hela. Akina chenge wana hela lukuki lakini bado wakabeba zingine kwenye magunia na toroli kupeleka usukumani
 
Mkuu ni ulimbukeni, mtu katokea maisha magumu anafikiri kulipwa hiyo salary anakuwa ametusua.......
 
Akili yako umekalia. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi, wewe unaongelea saizi ya mshahara wake. Ukiwa na mshahara mkubwa ndio uulete hapa JF? Mawazo yako yaonyesha zisivyokutosha. Umringishie ukubwa wa mshahara wako mtu asiyekujua hapa JF itakusaidia nini?
Huna akili kama huyo mwalimu mwenzio ndo maana umemshauri aondoe hizo salary slip ambazo alitarajiwa kusifiwa kwa mshahara mkubwa kumbe ni peanuts tu.
 
Akili yako umekalia. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi, wewe unaongelea saizi ya mshahara wake. Ukiwa na mshahara mkubwa ndio uulete hapa JF? Mawazo yako yaonyesha zisivyokutosha.
Mwalimu endelea kufurahia mshahara wa 1.2m, na vile viposho vya kwenye chafuzi kuu....
 
Kufurahia kunakujaje hapa? Wee kweli hamnazo. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi. Akili yako ilivyo mbovu ikatafsiri eti mwalimu anaonyesha JF mshahara wake ulivyo mkubwa. Yaani wewe kumbe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeuleta JF ili watu waone? Hauoni akili yako imepinda? Walimu tuna akili za kutosha kujua kuwa mishahara yetu iko chini. Na tumelalamika sana.
Mwalimu endelea kufurahia mshahara wa 1.2m, na vile viposho vya kwenye chafuzi kuu....
 
Kufurahia kunakujaje hapa? Wee kweli hamnazo. Mwalimu alikuwa anaongelea deni la bodi. Akili yako ilivyo mbovu ikatafsiri eti mwalimu anaonyesha JF mshahara wake ulivyo mkubwa. Yaan wewe ungekuwa na mshahara mkubwa, ungeuleta JF ili watu waone? Hauni akili yako imepinda?
Mwalimu unatambia salary ya 1.2m, deni la bodi linahusianaje na maonyesho ya salary slip.......mbona sizioni tena hizo slips na deni la bodi bado limejieleza, kuna nini kilichobadilika? ndo maana wakubwa hawaleti watoto wao kufundishwa na walimu dizaini yenu.......mwalimu unayetambia salary ya 1.2m sioni cha maana utakacho deliver, maana unakuwa hujitambui kabisa.
 
Usimlishe maneno mtoa mada kwa akili yako mbovu... Kojoa ukalale.
Kwa hiyo mwalimu hapo umeona serikali ya ccm imekujali, kukuondolea 1.8m kwenye loni bodi hadi umekuja kuanika salary slip..........mwalimu mfike mahali muanze kujitambua.
 
In fact hiyo pesa ndiyo ulikuwa unataka kudhulumiwa na past regime in the name of retention fee....mama amekurudishia.
Mungu amlinde huyu mama.
 
Mleta mada: Jamani, nimefutiwa deni. Oneni documents zangu. Deni limefutwa ghafla.
Wewe: Kwa hiyo unaona mil 1.2 ni mshahara mkubwa wa kuonyesha JF?
Unachokisema hakina hata chembe ya uhusiano na anachokisema mleta mada. Kama hauoni hapo kuwa akili zako ziko sehemu ya kukalia kwenye kiti basi tena.
Kwa hiyo mwalimu hapo umeona serikali ya ccm imekujali, kukuondolea 1.8m kwenye loni bodi hadi umekuja kuanika salary slip..........mwalimu mfike mahali muanze kujitambua.
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?

View attachment 2099882
Hongera kwa kumaliza kulipa deni! Wataka nini tena? Print hiyo kurasa ya kupongezwa Kwa ushahidi wako!
 
Kuna mtoa mada fulani alisema humu jana kuwa heslb wameweka deni halisi ktk salary slips mwezi huu. Mtoa mada alikuwa analipia retention na hayo mapenalt bila shaka, deni halisi lilishaisha hapo ndo maana wameondoa. Hata hawajakosea, wapo makini. Wengi tu mwezi huu kuna amount iliyoondolewa! Mungu ibariki JMT, Mungu mbariki mama Samia!
 
Back
Top Bottom