Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?
View attachment 2099882