MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Ndio maana Mimi huwa Kila siku nawaambia humu, Walimu mishahara yao siyo midogo.Mwalimu anakula 1.2.Kumbe mshahara mzuri eenh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Mimi huwa Kila siku nawaambia humu, Walimu mishahara yao siyo midogo.Mwalimu anakula 1.2.Kumbe mshahara mzuri eenh
Wako walimu wana hadi 2.2mil kutegemeana na umri kaziniMwalimu ana basic 1m+
Mimi deni limeongezeka January hiiKuna mtoa mada fulani alisema humu jana kuwa heslb wameweka deni halisi ktk salary slips mwezi huu. Mtoa mada alikuwa analipia retention na hayo mapenalt bila shaka, deni halisi lilishaisha hapo ndo maana wameondoa. Hata hawajakosea, wapo makini. Wengi tu mwezi huu kuna amount iliyoondolewa! Mungu ibariki JMT, Mungu mbariki mama Samia!
Mkuu haa kwenye screenshot ya system yao, ina maana unawadai umelipa zaidi ya kias ulichokopeshwaHallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?
View attachment 2099882
Yaah nashangaaa ana Kijana cha kutosha palee kwamba kazidisha depositMkuu haa kwenye screenshot ya system yao, ina maana unawadai umelipa zaidi ya kias ulichokopeshwa
Mkuu kwa nini ikifika wakti wa chaguzi, mnaisaidia CCM kuiba kura, lakini? Ama mmeamua kukubaliana na hali yenu tu?
KWELI KIONGOZI?!!!!!!!Mimi deni limeongezeka January hii
Na wewe utakuwa juha vile vile. Kwa kigezo ulichotumia nahisi hutoona tabu kutembea uchi ugenini kwa vile tu watu hawakujui.
Kupitia hizi hizi fake id mtu akiwa na dhamira ya kukujua wsla haishindikani lakini sidhani hilo unalijua pia.
Anyways uwe na jumapili njema
Sidhani kama Kila mzazi hawezi kulipa Ada ya 1.2M kwa mwaka huko vyuoni.
Imeongezeka laki 3KWELI KIONGOZI?!!!!!!!
Aiseewewe jisifie tu, subiri wapite humu wakudake
alafu kwanini unakopa hivyo! si utazeeka na mikopo ndugu ?
Aisee!!Imeongezeka laki 3
Ngoja wali traceHallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?
View attachment 2099882
Sawa mkuu. Uwe na siku njema.Kwani lazima wote tufiche mambo yetu. Acheni ujinga. Mbona msharaha wa Rais wa Marekani unajulikana kuwa ni USD400,000 kwa mwaka. Mwalimu kaonyesha jinsi ambavyo deni lake limebadilika ghafla. Nyie inawauma nini kuonyesha salary slip yake? Kama hautaki kuona, pita kimya kimya.
Kama utahangaika kujua salary slip iliyowekwa hapa ikiwa haina jina kuwa ni ya nani, basi wewe una roho ya kichawi kama siyo mchawi kabisa.
Ulisikia alichosema Rais kwenye May Mosi kuhusu HESLB, tozo nyingi zimefutwa Kule bodi lakini bado zinasoma kwenye salary slip, ukiwa mzubavu watakata yote milioni 9 kwa uzembe wako, wakati wenzio wanaenda kuhahakiki madeni bodi wewe ulikuwa wapi?STATEMENT ZA HELSB NA SALARY SLIP ZINASOMA TOFAUTI MFANO MM SALARY SLIP INASOMA 9,000,000 na Statement yao inasoma 7,000,000
Hongera. Naona umegundua kosa lako la kuweka vielelezo vyako kama ushahidi na hivyo umeamua kuviondoa. Lakini umeshachelewa kwani tayari tunavyo kwenye kanzidata yetu. Deni litaendelea kama ambavyo salary slip yako ya February 2022 itakavyosoma.Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma milioni mbili kasoro ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board. Je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi?
Simple. Tukitafuta kwenye computer zetu tutapata hiyo document chini ya sekunde ikionesha yote hayo ambayo umeziba.Documents zimezibwa id mkuu alafu mbona sio uhalifu kwani ni doc za mipango ya kulipua ikulu ?