Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Kuna mtoa mada fulani alisema humu jana kuwa heslb wameweka deni halisi ktk salary slips mwezi huu. Mtoa mada alikuwa analipia retention na hayo mapenalt bila shaka, deni halisi lilishaisha hapo ndo maana wameondoa. Hata hawajakosea, wapo makini. Wengi tu mwezi huu kuna amount iliyoondolewa! Mungu ibariki JMT, Mungu mbariki mama Samia!
Mimi deni limeongezeka January hii
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?

View attachment 2099882
Mkuu haa kwenye screenshot ya system yao, ina maana unawadai umelipa zaidi ya kias ulichokopeshwa
 
Kwani lazima wote tufiche mambo yetu. Acheni ujinga. Mbona msharaha wa Rais wa Marekani unajulikana kuwa ni USD400,000 kwa mwaka. Mwalimu kaonyesha jinsi ambavyo deni lake limebadilika ghafla. Nyie inawauma nini kuonyesha salary slip yake? Kama hautaki kuona, pita kimya kimya.

Kama utahangaika kujua salary slip iliyowekwa hapa ikiwa haina jina kuwa ni ya nani, basi wewe una roho ya kichawi kama siyo mchawi kabisa.
Na wewe utakuwa juha vile vile. Kwa kigezo ulichotumia nahisi hutoona tabu kutembea uchi ugenini kwa vile tu watu hawakujui.
Kupitia hizi hizi fake id mtu akiwa na dhamira ya kukujua wsla haishindikani lakini sidhani hilo unalijua pia.
Anyways uwe na jumapili njema
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan boad hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma 1,844,0000 ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi ?

View attachment 2099882
Ngoja wali trace
 
Kwani lazima wote tufiche mambo yetu. Acheni ujinga. Mbona msharaha wa Rais wa Marekani unajulikana kuwa ni USD400,000 kwa mwaka. Mwalimu kaonyesha jinsi ambavyo deni lake limebadilika ghafla. Nyie inawauma nini kuonyesha salary slip yake? Kama hautaki kuona, pita kimya kimya.

Kama utahangaika kujua salary slip iliyowekwa hapa ikiwa haina jina kuwa ni ya nani, basi wewe una roho ya kichawi kama siyo mchawi kabisa.
Sawa mkuu. Uwe na siku njema.
 
STATEMENT ZA HELSB NA SALARY SLIP ZINASOMA TOFAUTI MFANO MM SALARY SLIP INASOMA 9,000,000 na Statement yao inasoma 7,000,000
Ulisikia alichosema Rais kwenye May Mosi kuhusu HESLB, tozo nyingi zimefutwa Kule bodi lakini bado zinasoma kwenye salary slip, ukiwa mzubavu watakata yote milioni 9 kwa uzembe wako, wakati wenzio wanaenda kuhahakiki madeni bodi wewe ulikuwa wapi?

Utakuwa Kama huyu jamaa anaeshangilia deni kuisha wakati kashazidisha karibu milioni 2
 
Deni limepungua au kufutwa baada ya agizo la rais kufuta retention fee,wengine yameisha kabisa na wengine yamepungua,mimi nilikua na 5.something imepungua hadi 3.2,so hongera mkuu kwa kujitanzua na hicho kitanzi.
 
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.

Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.

Awali mwezi uliopita deni lililobakia lilikua linasoma milioni mbili kasoro ila ghafla nimekuta limefutwa. Wakuu kuna nini kinaendelea loan board. Je kuna wengine wamepata mabadiliko na kufutiwa deni lililobaki kama mimi?
Hongera. Naona umegundua kosa lako la kuweka vielelezo vyako kama ushahidi na hivyo umeamua kuviondoa. Lakini umeshachelewa kwani tayari tunavyo kwenye kanzidata yetu. Deni litaendelea kama ambavyo salary slip yako ya February 2022 itakavyosoma.
 
Back
Top Bottom