Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Sijawahi kulipa Deni la Bodi tangu nimalize Chuo mwaka 2007,ni ujinga kulipa deni hilo wakati ni jukumu lao kutusomesha
Bro wewe na Mimi tuna moyo mmoja Mimi nasema mpk waweke sawa hicho chombo ndio nitajisalimisha kimewaibia maskini Sana..Mara makato yawe juu Mara faini.,,Mara rentetion ,,,

Yaan Mtu anaamka from know where anaingiza makato kihuni..
 
Subiri Kwa hamu Mei Mosi.
Maza Kasema.
 
Ni kweli mkuu
 
We jamaa ni juha kabisa. Kwanza umeanika financial status yako yote mtandaoni kila mtu aone pili kupitia misifa yako ushawagutusha HESBL kiasi cha kuponza wenzio ambao walipona kimya kimya.
 
Wewe unataka na wengine tuliofutiwa kimeujiza, waanze ufuatiliaji watukamate tena si ungekausha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…