Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

we ni j*ha kweli...nairobi mombasa ni fuso peke yake uliona.sijui ujibiwe vipi
 
we ni j*ha kweli...nairobi mombasa ni fuso peke yake uliona.sijui ujibiwe vipi
Nyie ndo majuha mnaringa kumbe mnasafiria malori.na ni mengi kuliko mabasi.na kwa nairobi town hakuna mabasi ni vifodi kama vya arusha.
 

I like when pple argue from a point of ignorance! kama huna habari tafuta kwanza. its kenyan government policy you cant establish your booking office in a public utility space. You got to spend money to secure one! that's different from a bus stage buddy, which are everywhere!!!

mash bus service booking office mombasa


 
Huku kumekaa ki udaku na majungu...ngoja nikasome hekaya za kuria yule mnono!!
 
Mleta mada mbona, hajaleta sifa nyingine kuu ya Mambasa?,au anaogopa maswali?
 
Nyie ndo majuha mnaringa kumbe mnasafiria malori.na ni mengi kuliko mabasi.na kwa nairobi town hakuna mabasi ni vifodi kama vya arusha.
sawa bana umeshinda...nligundua kubishana haisaidii.It's true ukiwa salama town nimalorry ya fuso ndo hupita kusafirisha abiria from Nai to Msa
 
Tz kweli mwajaza UDUBWANA kwenye akili zenu kuhusu KENYA....
 
nairobi stage ipo inaitwa COUNTRY BUS ipo maeneo ya westlands so cjui ni nairob gan mnadanganyana hapa
 
Kenyans don't need those bus stand, they got no time to rest!!!!! Always wanatafuta shilingi sio umbea kwa mastendi!
 
I have been going to Mombasa every year since 2012. From Arusha to Mombasa (Tahmeed/Simba na mengineyo) sijawahi kuona stand ya Mabasi kama huku TZ (labda Voi). Mabasi mengi yanapark Mwembe tayari barabarani (very dangerous and risky) because there's matatus/tuktuks and bodabodas everywhere. Mabasi mengine huwa yanasimama pale Kenol usiku yanayoenda Nairobi, megine close to Marikiti (on the road) na mengine yana park Mtwapa. Kama kuna stand ya mabasi then they don't use it and i don't know where it is.

Yes, kuna booking offices but that's all i have seen. Its true Mombasa ni pachafu ( i like Mombasa but it is dirty). The past few years naona wameweka magari ya uchafu lakini bado Mombasa ni chafu sana. Barabara ya kwenda Kilifi tokea town after Nyali bridge (pale lights) imejaa uchafu na vibaka especially usiku (ditto Kisauni and Bamburi). Then from Kenol at least kuna usafi kidogo mpaka borabora, After that uchafu mpaka Mtwapa ambapo ndio mwisho wa matatizo, kuna Malaya kila kona, cheap strip clubs, bars etc.

This is the same in Nairobi. Inawezekana kuna stand ya mabasi Nairobi ila sijui ipo wapi. Mabasi mengi (especially yanayoenda coast) yana park kule river road each on its own hata Dar express inayotoka Nairobi kwenda Dar huwa naiona huko, pia kutokana na traffic jam ya Nairobi i don't know why haya Mabasi yanapark town kama kuna stand. Nakumbuka one time i was going to Mombasa from Nairobi, It took us a couple of hours kutoka town mpaka kuingia Mombasa road, so kama kuna stand ya mabasi Nairobi then i don't know where it is and i wonder why they never use it.

The good places in Nairobi & Mombasa are really good, but the bad places very bad, I can not confirm kama ni kweli kuna masikini wengi sana Nairobi & Mombasa ila one thing i have noticed ni kwamba, there are more people begging for Money & Food utakaokutana nao huko kuliko Dar, i guess ni kwa sababu vitu ghali sana compared to TZ.
 
nairobi stage ipo inaitwa COUNTRY BUS ipo maeneo ya westlands so cjui ni nairob gan mnadanganyana hapa
Sijawahi tumia stage hizo mimi, sina time!! Yaani Tanzania mnawakati wa kumaliza eti muende kuchukua gari kituoni.

Kuna stage kadhaa Nairobi, wanaozitumia hasa ni watu husafiri mashambani
 
Kuna kitu inaitwa diverse culture.nyie watz inaonekana mnahusudu stendi za mabasi ila hapa kenya karibia country bus kama wewe si street smart utaibiwa huko.wakenya hawapendi stendi maana ukiingia pale kila mtu anajua unasafiri na wanalazimisha kukuuzia kila kitu mpaka dawa ya mende.so its culture guys kuavoid nuisance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…