Maajabu: Kamati yataka Malinzi apitishwe bila kuwepo

Maajabu: Kamati yataka Malinzi apitishwe bila kuwepo

Hivi unaweza kumpitisha mtu mwenye tuhuma 28 za ubadhirifu na utakatishaji wa pesa? Hao wakumbe watakua ni mazwazwa.
 
Malinzi bwanyenye jizi lafi la madaraka na mashavu yake likwende jela kwanza ili TFF iongozwe na mtu mwingine mwenye akili na uelewa wa kuendeleza soka.
 
Hapa hatutaki misimamo ya watu na nafsi cjui kusuta, kila uchaguzi una sheria na taratibu zake wafuate sheria siyo misimamo binafsi ya watu. Kama sheria zao zinaruhusu wafanye hivyo na kama haziruhusu watemane naye ila kama sheria iko silence wapige kura then maoni ya washindi yafuatwe
 
Hao ni watuhumiwa bado, sasa kuwanyima nafasi za kugombea, sio fair kama ikionekana nivfigisu tu wamechezewa....
Mkuu watumishi wa umma wakiwa na kesi mahakamani ya kutuhumiwa kupokea au kutoa rushwa huwa wanasimamishwa kazi kupisha uchunguzi na wanarudishwa kazini wakishinda kesi. Kwa hivyo hata Malinzi na wenzie hawawezi kutekeleza majukumu yao wakiwa ndani kwa tuhuma za kosa ambalo hawawezi kupewa dhamana.
 
Usiku wa leo mpaka ifike kesho hao waliotaka Malinzi apitishwe hakika hamna rangi wataacha kuona kama kweli serikali imedhamiria kumuweka mtu wao TFF.
 
Rushwa kila upande. Angalia wanaotaka Malinzi aongoze TFF akiwa ndani ni kina nani....hatuna aibu hata chembe?
Wameshachukua mlungula na wao wakahojiwe wote walio upande wa Malinzi
 
Wameshachukua mlungula na wao wakahojiwe wote walio upande wa Malinzi
Mzee mpiga zumari humsikiliza aliyemlipa. Aliyewachagua ni Malinzi na hao wajumbe wanamsikiliza Malinzi. Na hapa lazima tuelewe, sisi hata tupige kelele namna gani wajumbe wa huo mkutano watachamgua kipenzi chao MALINZI.
Sijui umafia wa namna gani unaoweza kumtoa Malinzi.
Naomba Mungu huyo Mwenyekiti atangaze wagombea bila kuwashirikisha vibaraka!
 
Umesema kweli mkuu
 
genge la wala rushwa, na zitawatokea puani, bora hata tufungiwe na FIFA kuliko kuleta genge la maharamia wa malinzi. na lazima afungwe
Magu kasema zitawatokea kwny Matundu Mengine ya Mwili, Kumbe tundu zenyewe ni puani Mie nikadhani tundu kuu baada ya mdomo!
 
Umesema kweli mkuu
Hizo ni dalili tu za kutaka kuonyesha umma kwamba hata tufanyeje hatumuondoi Malinzi.
Huyo bwana ameanza kujijenga kipindi kirefu na ametengeneza himaya kubwa miongoni mwa wanaofanya maamuzi ya soka.
Na ukionyesha mawazo tofauti unatupwa nje ya ulingo wa soka. Wenyewe wanadai wao ndo watu wa mpira!
 
Kesi zenyewe za kutakatisha mpaka miaka kama mitano, ila TFF bila malinzi inawezekana sioni sababu ya kumng'ang'ania
 
Back
Top Bottom