EVANCE HENRY
Member
- Aug 9, 2011
- 79
- 77
Na Kaburu pia apitishwe ,kwa nini Malinzi peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhZile hela alizopiga zinafanya kazi now, watu wanataka kumrudisha wakapige nae tena
Ikitokea akapitishwa lazima watamchagua tena kwa kishindo!Mlungula ushatembea apo!
Mkuu watumishi wa umma wakiwa na kesi mahakamani ya kutuhumiwa kupokea au kutoa rushwa huwa wanasimamishwa kazi kupisha uchunguzi na wanarudishwa kazini wakishinda kesi. Kwa hivyo hata Malinzi na wenzie hawawezi kutekeleza majukumu yao wakiwa ndani kwa tuhuma za kosa ambalo hawawezi kupewa dhamana.Hao ni watuhumiwa bado, sasa kuwanyima nafasi za kugombea, sio fair kama ikionekana nivfigisu tu wamechezewa....
Wameshachukua mlungula na wao wakahojiwe wote walio upande wa MalinziRushwa kila upande. Angalia wanaotaka Malinzi aongoze TFF akiwa ndani ni kina nani....hatuna aibu hata chembe?
Hiyo principle is inapplicable angekuwa amehudhuria usaili na kupitishwa ingeapply, watu wanajitoa ufahamu tuHao ni watuhumiwa bado, sasa kuwanyima nafasi za kugombea, sio fair kama ikionekana nivfigisu tu wamechezewa....
Mzee mpiga zumari humsikiliza aliyemlipa. Aliyewachagua ni Malinzi na hao wajumbe wanamsikiliza Malinzi. Na hapa lazima tuelewe, sisi hata tupige kelele namna gani wajumbe wa huo mkutano watachamgua kipenzi chao MALINZI.Wameshachukua mlungula na wao wakahojiwe wote walio upande wa Malinzi
Umesema kweli mkuuMzee mpiga zumari humsikiliza aliyemlipa. Aliyewachagua ni Malinzi na hao wajumbe wanamsikiliza Malinzi. Na hapa lazima tuelewe, sisi hata tupige kelele namna gani wajumbe wa huo mkutano watachamgua kipenzi chao MALINZI.
Sijui umafia wa namna gani unaoweza kumtoa Malinzi.
Naomba Mungu huyo Mwenyekiti atangaze wagombea bila kuwashirikisha vibaraka!
Magu kasema zitawatokea kwny Matundu Mengine ya Mwili, Kumbe tundu zenyewe ni puani Mie nikadhani tundu kuu baada ya mdomo!genge la wala rushwa, na zitawatokea puani, bora hata tufungiwe na FIFA kuliko kuleta genge la maharamia wa malinzi. na lazima afungwe
Hizo ni dalili tu za kutaka kuonyesha umma kwamba hata tufanyeje hatumuondoi Malinzi.Umesema kweli mkuu