Maajabu katika Shule ya Msingi Manyoni Singida

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,742
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?
 
Mbunge ambako iko hiyo shule ni wa chama gani? Na Halmashauri inayosimamia shule hiyo inaongozwa na chama gani?

7.jpg

Ukiona hivyo utajua Halmashauri inaongozwa na chama gani.
 
Hiyo shule ni ya misukule.., hakuna mzazi atapeleka mtoto hapo..
 
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?

hapo ndo mtu bila soni anatangaza kuwa uchumi wa Tanzania unakua na wengine wanaunga mkono.!!!!!!! Maajabu ya dunia yanazidi kuongezeka.
 
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?

Mwalimu hapo kwenye Taaruma ni TAALUMA na Ufauru ni UFAULU...

halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni UZUSHI.
 
mwalimu hapo kwenye taaruma ni taaluma na ufauru ni ufaulu...

Halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni uzushi.

ww ndyo bure kabisa cyo kila kitu picha ujue kuna wengne hawana hzo desturi zako zakupigapiga picha afu utakuta aliyeta habari cmu yake haina uwezo wapicha.unaposema uzushi shule ngapi wanafunzi wanakaa chni hawana madawati hawana walimu,hapo dar tu wanafunz wanakaa chn sembuse vijijini huko?amini usiamini hayo mambo yapo na aliyetufikisha hapa ni ccm,nahao misukule bdo wanachagua ccm kwa hongo ya pombe na chumvi
 
mbunge ni mwigulu nchemba h mashauri ni ccm

Ha ha ha nilitaka kukujibu post yako ya awali lakini kwa kukurupuka huku bila kujua unachoandika au kilichoulizwa nakuweka kwenye fungu la vilaza...

Inaonekana mwigulu kajaa kwenye akili yako sio?

Muulize tena kibogo wa manyoni ni nani teh teh teh

Au soma thread yote kwa umakini then acha groupthink hizo...

Ha ha ha ha lione
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nilitaka kukujibu post yako ya awali lakini kwa kukurupuka huku bila kujua unachoandika au kilichoulizwa nakuweka kwenye fungu la vilaza...

Inaonekana mwigulu kajaa kwenye akili yako sio?

Muulize tena kibogo wa manyoni ni nani teh teh teh

au soma thread yote kwa umakini then acha groupthink hizo...

Ha ha ha ha lione

unafikiri c elewi km c mwigulu,naelewa wazi c mwigulu.nimesema mwigulu makusudi ili ujumbe ufike kwa wengi
 
Last edited by a moderator:
Manyoni ipi mkuu maana kuna wabunge wawili na wote ni chama tawala!!!!

Nchi hii ukitaka kuijua basi toka mjini na ukifanikiwa kufika pembezoni taswira ya nchi isiyoendelea ndio unaipata!!!!!!
 
Wananchi wa maeneo hayo mliosambaa nchi nzima oneni aibu na mchukue hatua. Hili sio jambo la kawaida.
 
we ni k kubwa sahvi sangapi?umewahi kusikia wapi watu wanalala asubuhi?ndyo mana nimesema upo nje ya nchi.

Kwahiyo asubuhi watu hawalali? Wanaokesha makazini asubuhi hawalali? Au kulala wewe unakuchukuliaje?
 
Wananchi wa maeneo hayo mliosambaa nchi nzima oneni aibu na mchukue hatua. Hili sio jambo la kawaida.

Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.
 
Back
Top Bottom